Sasa ndo hao waliojaa uraiani, afu ndoa sio ajira mkuu.mwanaume kama huna hela kama mzabzab hapa sahau mambo ya ndoa wewe endelea tuu na nyeto ya mlenda vuguvugu.
sio kwamba hatupendi kuoa bali hatupo economically weel kuweza kumudu majukumu ya familia.
kwa mwanamke ni ajira.Sasa ndo hao waliojaa uraiani, afu ndoa sio ajira mkuu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
kweli tena maana unalishwa unavalishwa na unapewa utamu huku wewe ukitoa mbusus na kulea watoto na mume
Jua ni kali pesa nguma kitaaDuh! Kwa hiyo na mimi nikimaliza chuo nijiandae na msoto
mie najua shida ya ajira ni both sexes.You're assuming too much too recklessly - kwamba wenye shida ya ajira ni akina dada tu?
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!Jua ni kali pesa nguma kitaa
50/50 will never happen, it hasn't happened anywhere in universeAmsahau saiv 50/50 kila mtu anapambania future yake.
Weka email yako mkuu ili wafanye applicationKazi ya elimu ni kutoa ujinga na kukupa mwanga wa kuona fursa, fursa zilizopo:-
Ajira hizo hapo
Vijana 500 kazi ya kuchoma mahindi Vijana 500 kazi ya kutembeza kahawa Vijana 500 kazi ya kuembeza karanga Vijana 500 kazi ya kutembeza mayai mchemsho Vijana 500 kuchoma na kutembeza mishikaki Vijana 500 kazi ya kutembeza matunda Vijana 500 kazi ya kutembeza barafu Vijana 250 kazi ya kutembeza vyombo Vijana 100 kazi ya kutembeza nguo n.k
Ndio hivyo kijanaDuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!
OkNdio hivyo kijana
You're missing the point. Hapa haongelewi mtu mmoja tu. Wake up!mie najua shida ya ajira ni both sexes.
my suprise is that within those ten years of jobless hamana mwanaume ambaye ametaka kuweka mbusus ya huyo mrembo ndani kama mke na maisha yakaendelea na perhaps even mume aanzishe biashara ambayo mke wake ataisimamia bwana umenielewa hapo?
Au kinyume chake. Wahusika hawaandai mazingira sahihi ili kuhakikisha wahitimu wanapata ajira walizosomea na kwa wakati.Masomo yetu hayamwandai mwanafunzi kuimarika nje na kuajiriwa hilo eneo.
Acha kutegemea vya wazazi wao walitoa wapi? Hii mentality ya urithi ndo inawatesa zaidiWazazi waache upuuzi wa kusema urithi wa mtoto ni elimu peke yake.
Mkuu, takwimu unazijua za wahitimu kila mwaka halafu na ajira husika? Mhitimu analaumiwaje hapo? Pls be fair.Vijana weng ni sisim na kuanza kuwatetea ni kukosa kaz wacha wapambane na shida zao sku akili zikikaa sawa watajua nn ttzo
Ila kwa sasa kuangaika na hawa wasomi wa vyuo vikuu wanaochanga pesa kumnunulia Mama fomu ya urais 2025 ni ujinga mtupu wacha dawa iwaingie kwanza
Wanaondaliwa na mahitaji yaliyopo ni vitu viwili tofautiAu kinyume chake. Wahusika hawaandai mazingira sahihi ili kuhakikisha wahitimu wanapata ajira walizosomea na kwa wakati.
Fursa nyingi mbalimbali zinapaswa kuandaliwa; hiyo si kazi ya wahitimu bali wenye dhamana. Mhitimu amesoma, amefaulu. Huo ndio wajibu wake.