Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

mwanaume kama huna hela kama mzabzab hapa sahau mambo ya ndoa wewe endelea tuu na nyeto ya mlenda vuguvugu.
sio kwamba hatupendi kuoa bali hatupo economically weel kuweza kumudu majukumu ya familia.
Sasa ndo hao waliojaa uraiani, afu ndoa sio ajira mkuu.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
You're assuming too much too recklessly - kwamba wenye shida ya ajira ni akina dada tu?
mie najua shida ya ajira ni both sexes.
my suprise is that within those ten years of jobless hamana mwanaume ambaye ametaka kuweka mbusus ya huyo mrembo ndani kama mke na maisha yakaendelea na perhaps even mume aanzishe biashara ambayo mke wake ataisimamia bwana umenielewa hapo?
 
Kazi ya elimu ni kutoa ujinga na kukupa mwanga wa kuona fursa, fursa zilizopo:-
  • Vijana 500 kazi ya kuchoma mahindi​
  • Vijana 500 kazi ya kutembeza kahawa​
  • Vijana 500 kazi ya kuembeza karanga​
  • Vijana 500 kazi ya kutembeza mayai mchemsho​
  • Vijana 500 kuchoma na kutembeza mishikaki​
  • Vijana 500 kazi ya kutembeza matunda​
  • Vijana 500 kazi ya kutembeza barafu​
  • Vijana 250 kazi ya kutembeza vyombo​
  • Vijana 100 kazi ya kutembeza nguo n.k​
Ajira hizo hapo
Weka email yako mkuu ili wafanye application
 
mie najua shida ya ajira ni both sexes.
my suprise is that within those ten years of jobless hamana mwanaume ambaye ametaka kuweka mbusus ya huyo mrembo ndani kama mke na maisha yakaendelea na perhaps even mume aanzishe biashara ambayo mke wake ataisimamia bwana umenielewa hapo?
You're missing the point. Hapa haongelewi mtu mmoja tu. Wake up!
 
Vijana weng ni sisim na kuanza kuwatetea ni kukosa kaz wacha wapambane na shida zao sku akili zikikaa sawa watajua nn ttzo

Ila kwa sasa kuangaika na hawa wasomi wa vyuo vikuu wanaochanga pesa kumnunulia Mama fomu ya urais 2025 ni ujinga mtupu wacha dawa iwaingie kwanza
 
Masomo yetu hayamwandai mwanafunzi kuimarika nje na kuajiriwa hilo eneo.
Au kinyume chake. Wahusika hawaandai mazingira sahihi ili kuhakikisha wahitimu wanapata ajira walizosomea na kwa wakati.

Fursa nyingi mbalimbali zinapaswa kuandaliwa; hiyo si kazi ya wahitimu bali wenye dhamana. Mhitimu amesoma, amefaulu. Huo ndio wajibu wake.
 
Vijana weng ni sisim na kuanza kuwatetea ni kukosa kaz wacha wapambane na shida zao sku akili zikikaa sawa watajua nn ttzo

Ila kwa sasa kuangaika na hawa wasomi wa vyuo vikuu wanaochanga pesa kumnunulia Mama fomu ya urais 2025 ni ujinga mtupu wacha dawa iwaingie kwanza
Mkuu, takwimu unazijua za wahitimu kila mwaka halafu na ajira husika? Mhitimu analaumiwaje hapo? Pls be fair.

Hivi unajua kwenye typical interview ambayo pengine wanahitajika walengwa wanne au watatu huwa wanaoenda kwenye huo usaili ni wangapi?
 
Au kinyume chake. Wahusika hawaandai mazingira sahihi ili kuhakikisha wahitimu wanapata ajira walizosomea na kwa wakati.

Fursa nyingi mbalimbali zinapaswa kuandaliwa; hiyo si kazi ya wahitimu bali wenye dhamana. Mhitimu amesoma, amefaulu. Huo ndio wajibu wake.
Wanaondaliwa na mahitaji yaliyopo ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom