cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sasa ndo hao waliojaa uraiani, afu ndoa sio ajira mkuu.mwanaume kama huna hela kama mzabzab hapa sahau mambo ya ndoa wewe endelea tuu na nyeto ya mlenda vuguvugu.
sio kwamba hatupendi kuoa bali hatupo economically weel kuweza kumudu majukumu ya familia.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app