Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Mim ninachoweza kushauri hasa vijana wenzangu wa kiume kama hujapata mwelekeo USIOE. Maana unaweza kuwa sawa na mtumbwi kubeba shehena nzito na ukaishia kuzama na kuangamiza vyote plus wenyew.
Bora uelee peke yako hata ukichekwa poa, kikubwa unasurvive.
 
Ccm ni nuksi, ni matahira na majambazi yanapaswa kuondolewa madarakani hata kukatwakatwa mapanga hadharani!.
 
Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka

View attachment 3238169
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Rafiki hapa tusilaumu wazazi filamu kitendo cha kuzaa na kuzalisha. Watanzania wengi wanazaa kwa bahati mbaya. Yaani mtu yupo yupo tu anambato Mbato. Hajali anambato nani ? Akipata mimba na kuzaa tunasema baraka. Watu wanazaa kwa mpango. Ni vigumu kukuta mshindi ana watoto zaidi ya wanne kwa sababu anazaa kwa mpango. Kuna madogo wa kihindi wanajilipia ada kwa hela zao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…