kataa ndoa wenyewe nao hawana kazi wala biashara hali mbaya wanaoajeSasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.
Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kataa ndoa wenyewe nao hawana kazi wala biashara hali mbaya wanaoajeSasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.
Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Man Leo umetema madini kwa mara ya kwwnza... Big up sana!Sasa tuwasaidiaje wakiwa chuo wasiwe breki pumbuz?
Yaani imagine ten years no man wants to marry u. Assuming amemaliza chuo na 23 so means ana 33 no marriage. Aisee hii ni crisis
Hili nalo nenokataa ndoa wenyewe nao hawana kazi wala biashara hali mbaya wanaoaje
Asante broMan Leo umetema madini kwa mara ya kwwnza... Big up sana!
Endelea hvyo hivyo Mimi ni shabiki Yako....Asante bro
Ndoa/kuoelewa ni Ajira kwa mwanamke kukaa na kusubiri aleteweKwa hiyo kuolewa ni sawa na ajira?
Mkuu hatujafika hukoCcm ni nuksi, ni matahira na majambazi yanapaswa kuondolewa madarakani hata kukatwakatwa mapanga hadharani!.
Ndio tumefika na nipo tiali binafsi.... Miaka 15 ya shule imepotea....!! Nimekaa mtaani 6+ afu unakuja kunipa usahili wakihuni.Mkuu hatujafika huko
Mbona unkl mbususus Sasa.Mie sijaoa kwa sababu nina hiv nina kibamia alafu sina hela ya tunza familia na pia sina uwezo wakuzalisha
Ww umeoaSasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.
Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Amna haja kuna course wanabidi wazi review.Kuna haja kuwasomesha maelfu kwa maelfu ya vijana Kila mwaka kwa fani ambazo hawataajiriwa?
Duh sio fair kama sail zenu za ualimu.Ndio tumefika na nipo tiali binafsi.... Miaka 15 ya shule imepotea....!! Nimekaa mtaani 6+ afu unakuja kunipa usahili wakihuni.
Rafiki hapa tusilaumu wazazi filamu kitendo cha kuzaa na kuzalisha. Watanzania wengi wanazaa kwa bahati mbaya. Yaani mtu yupo yupo tu anambato Mbato. Hajali anambato nani ? Akipata mimba na kuzaa tunasema baraka. Watu wanazaa kwa mpango. Ni vigumu kukuta mshindi ana watoto zaidi ya wanne kwa sababu anazaa kwa mpango. Kuna madogo wa kihindi wanajilipia ada kwa hela zao wenyewe.Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka
View attachment 3238169
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Naoa vipi wakati mie kwanza kibamia pili nina hiv+ sina hela na pia m egu zangu za kiume dhaifuWw umeoa