Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Kama wewe huna majukumu ulikuwa unalipwa boom ulishindwa kubana matumiz utunze pesa ukimaliza chuo ufungue hata kibanda cha mihogo... Leo hii unataka mzazi aliyekusomesha wewe ajibane pesa zake akupe mtaji ufungue biashara 💩💩💩 nyie vijana wapuuzi sana... Chuoni mlikuwa mna kazi ya kutumia boom kuhonga mademu kununua cm kali na kunywa pombe, leo mnataka maisha mserereko...

Anyways nawaombea baraka wote walikuwa serious na kusoma wapate kazi mapema na Mungu asikie kilio chao... Kwa ambao mmeomba ajira nyingi mara kwa mara na mmekosa msikate tamaa, maisha sometimes lazima yakutese ili siku ukija kutoboa usiyachezee...
 
Mimi ni graduate na sijapewa urithi wowote na sipitii msoto

Ni ujinga mtu kukaa Mtaani unavizia ajira uchwara za kibongo

Biblia Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi

Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa
na
Bwana”

Kama baba yako hajakupa urithi ujue baba yako ni mpumbavu anaenda motoni
 
Miaka 22 mimi nilikuwa formone wewe ulikuwa wapy 😅Sasa kama nimeachiwa vitu vya urithi why nihame home
 
Kabisa ila ukikaa vzr unaoa.
 
Miaka 22 mimi nilikuwa formone wewe ulikuwa wapy 😅Sasa kama nimeachiwa vitu vya urithi why nihame home
Miaka 22 nimeshatimka home toka kijijini huko nipo zangu town napambana na maisha
 
Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.

Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Unawapa stress waolewe na wasiowapenda halafu watendwe waanzwe kufoka 'Wanaume ni Mbwa'. Dadas msiingie ktk huu mtego wa umri kwenda. Pata chaguo lako kwa wakati wako.
 
Unawapa stress waolewe na wasiowapenda halafu watendwe waanzwe kufoka 'Wanaume ni Mbwa'. Dadas msiingie ktk huu mtego wa umri kwenda. Pata chaguo lako kwa wakati wako.
Hapana kutuita mbwa hakutupunguzii kitu chochote masculine yetu bado iko pale pale
 
Hamisa mobetto, hajasoma, diamond hajalithishwa mali, alikiba zero kabisa.
Juma nature, aslay watoto wa mtaani, pale insta kuna kina godlove chief, kuna kina kevin kabenje, wakina dar suit, wakina niffer zeerrroooo kabisa. Madam realtipher, sijui sachque, kuna wakina doctor toyota, kina dicksound zeroooo kabisaaaa.
Wakina masanja, wakina Dale, wakina mwamposa, wakina tony kapola zerrrooooo kabisaaaaa.
Wapo wakina tuerny, wakina solita chachara, wakina nasra noti, wapo malaya sasa uwiii.
Wote hawa labda tuerny mama yake yuko fiti ila ni mahustlers, hawakuachiwa kitu.
Nipo mimi old money mzee alifariki niko mtupu compared na sass ila aliniacha mpambanaji winga kkoo, ila si haba, madogo wamesoma, wana maisha, na niko mara 30 alivyoniacha mzeee.
Tupambane wanangu.
 
Pastor wewe Huyu ni degree holder, Dar suits kamaliza ifm mwaka 2019/2020

Lakini what's is your key point mzee
Hiy sample yako ndio Ina justify kwamba Tanzania nzima madrop out wametusua kuliko sisi tuliopiga kitabu?
 
Pastor wewe Huyu ni degree holder, Dar suits kamaliza ifm mwaka 2019/2020

Lakini what's is your key point mzee
Hiy sample yako ndio Ina justify kwamba Tanzania nzima madrop out wametusua kuliko sisi tuliopiga kitabu?
Na sijaandika dar suit ni dropout soma vizuri zero nimewataja katika makundi ya degree holder, masanja ana hold, sachque ana masters tena ya UK, Tuerny degree holder dsj, mimi degree holder wa mzumbe humu tu nimefuga na kufanya biashara ya nguruwe, kevin kibenje mentor ila ni degree holder wa masomo ya biashara, ila wapo zeroes, nipher, real tipher, hamisa, diamond kwenye list yangu, nimeongelea kwamba kila mtu anatokea na mazingira yake, si wazazi tu, tupambane. Au elimu.
Sasa endelea kukaza shingo, kwasababu unawajua waume zako, ukiona jina unataka kujifanya unawajua sana unatoka kwenye mada, sikueleweshi tena next time nakutukana hapa hapa uncircumcised baboon, soma uelewe
 
Haya🤔 Umemaliza matusi yako utakuwa na busha kichwani bwana mdogo sio bora huna hoja una comment utoko kutoka kichwani mwako mchicha mwiba wewe
 
Kaka umeongea point, wenzetu wahindi, wazungu, waarabu wanakuwa na family business mtu hata akigraduate anafanya kwenye biashara zao, let say kama amesoma accounts anakuwq mhasibu wa kampuni yao etc etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…