Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Kama wewe huna majukumu ulikuwa unalipwa boom ulishindwa kubana matumiz utunze pesa ukimaliza chuo ufungue hata kibanda cha mihogo... Leo hii unataka mzazi aliyekusomesha wewe ajibane pesa zake akupe mtaji ufungue biashara 💩💩💩 nyie vijana wapuuzi sana... Chuoni mlikuwa mna kazi ya kutumia boom kuhonga mademu kununua cm kali na kunywa pombe, leo mnataka maisha mserereko...
Anyways nawaombea baraka wote walikuwa serious na kusoma wapate kazi mapema na Mungu asikie kilio chao... Kwa ambao mmeomba ajira nyingi mara kwa mara na mmekosa msikate tamaa, maisha sometimes lazima yakutese ili siku ukija kutoboa usiyachezee...