Uliniambia sijitambui na sijielewi kwa hiyo nikupe ushahidi kuhusu sensor za Sony kutumika kwenye iPhonerudia kusoma quote zangu za mwanzo utanielewa nilikuwa nakuuliza nini na unajibu nini๐๐
Nabii hakubaliki kwao broHii logic yako haimake sense
Hao waliotengeneza wakiwa form 5 ndio wana nafasi ya kuboresha gari lao waliloanza kulitengeneza
Hao wa NIT unaowaona huenda hawakuwahi kutengeneza wakiwa form 5 kwa hiyo ndio wametengeneza waliwa chuo. Ukiwekeza kupitia wao ndio watapata pesa na nafasi ya kuboresha
Sijui kwa nini nyinyi mnaona sawa, ila mimi sioni kama ni sawa kujisifu eti tuna wanafunzi wa form 5 wanatengeza gari la umeme halafu hata hatuwaendelezi. The same to hawa wa NIT kama tukiendelea kuwapuuza kuwa walichotengeneza ni kibaya na hakijafikia cha fulani inakuwa haina maana.
Kwanza sielewi hata watu kwenye comments wanakereka nini kuona wanafunzi wanafanya hivi chuoni. Ila Tanzania, eeh ๐
CCM ni baba wa uongo.Hivi kwa nini huwa hatupendi kuendeleza project za watu
Mfano huyo Kipanya inaonekana Bongo hata ukiwa na ubunifu, kama hauna mtaji na support haufiki popote. Labda hatuna mpango wa kuwa na viwanda, wanasiasa wanatudanganya tu ๐ค
Kila Eneo tumeshachelewa sanaKwenye magari tumeshachelewa
Okay. Vp Chuo Kikuu Mliman?Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira na unafuu wa gharama.
Tafadhali serikali, najua vitu vingi mnaboronga lakini kuhusu hili la magari walau mlichukulie serious. Burkina Faso tayari wanatengeneza magari ya umeme. Kwa wasioyajua yanaitwa "ITAOUA"
Na sisi hapa Tanzania tuwe na kiwanda chetu cha magari ya umeme. Anzeni na hawahawa vijana wa NIT. Mara nyingi ubunifu wa watu mnaacha upite tu mwisho wa siku kunakuwa hamna faida yoyote
Hebu safari hii badilikeni muwe serious na mageuzi ya viwanda Tanzania
View attachment 3531286