Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme

Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme

Walikuja. Benz wakati fulan wakataka kuweka kiwanda, wakazungushwa hadi wakakata tamaa kiwanda wakapeleka rwanda

Tatizo la hii nhci ji sera, urasimu kila kona
Kumbe kuna watu walitaka kuja kujenga kiwanda cha magari tukawazungusha dah
Basi tunapasww kubadili sera zetu maana kama sisi hatutakia kuanzisha kiwanda basi at least tuvutie hata kampuni za nje zilizofanikiwa kuja kuanzisha kiwanda cha magari, hata cha kuassemble tu
 
Hivi kwa nini huwa hatupendi kuendeleza project za watu
Mfano huyo Kipanya inaonekana Bongo hata ukiwa na ubunifu, kama hauna mtaji na support haufiki popote. Labda hatuna mpango wa kuwa na viwanda, wanasiasa wanatudanganya tu 🤔
Ukiwa mbunifu halafu usiwe ccm damu haisaidiii
 
Hilo hata niuziwe laki1 sinunui.
Umewahi kutamani Tanzania iwe na kiwanda cha kutengeneza magari kama haya ya Burkina Faso?
vehiculoelectrico_burkinafaso (1).jpg
Screenshot_2026-01-17-23-20-56-439_com.linkedin.android.png
 
Kumbe kuna watu walitaka kuja kujenga kiwanda cha magari tukawazungusha dah
Basi tunapasww kubadili sera zetu maana kama sisi hatutakia kuanzisha kiwanda basi at least tuvutie hata kampuni za nje zilizofanikiwa kuja kuanzisha kiwanda cha magari, hata cha kuassemble tu
Tungeweza kuvutia waaay long, lakin yakija makampuni yanapigwa dana dana na walipo kwenye mamlaka,
urasimu ,rushwa , njaa..

Mwekezaji anawekewa vikwazo hadi anondoka. Unadhani tatizo ni nini?
 
Sio kweli, financial resources zipi hizo unasema wanafunzi wanazo? Na pia ni uongo kwamba eti kwa university they have to do beyond assembling. Huu ni uongo, we umesoma university yoyote Tanzania? Unajua ratiba za chuo zinavyobana? Kwamba ulitaka wanafunzi wa chuo kwenye project yao waanze kazi ya manufacturing? Umesikia NIT wana viwanda? Lab resources gani unaongelea we jamaa. Khaa
Halafu kama fundi garage can do it better ni jambo la heri, kwani ulisikia wanafunzi wanashindana na fundi gereji au? Wao wamefanya projecr yao na ndio hiyo hapo
Hayo mambo ya going beyond assembling ni kwamba unaota tu au hujui unachoongelea. Kwamba eti wafanye beyond assembling, ulitaka wafanye nini? Naona unaongea ilimradi tu na wewe uonekane umeponda, chuo ulisoma kozi gani na uliwahi kufanya project gani wewe binafsi?
Pathetic,

Hujui by just having the name, then university inahusika na image ya hiyo innovation/assembly.

I wonder if unajua unachoongea au unapiga kelele tu, sometimes vyuo vyetu vinajidhalilisha saana kwa kuwa associated na vitu vya kijinga.

Any university needs to ensure the communication/innovation is properly vetted so it sells the university name upon it's publication this goes to university staff too especially the supervisors, department associated or the lab they are associated.

That's they role, sio kuacha vitu vya kijinga kijinga vinaharibu Jina la chuo badala ya kulitangaza
 
Vijana wanajaribu, na hiyo inaonekana ni prototype tuu, acheni ujinga
Then prototype zibaki lab au kwenye university newsletter sio zitoke kwa public.

In short they need to do it better.

Yaani kama kale kagari ka UD kananichefuaga nikikaona, chuo kikubwa halafu kinatoa kitu substandard
 
Pathetic,

Hujui by just having the name, then university inahusika na image ya hiyo innovation/assembly.

I wonder if unajua unachoongea au unapiga kelele tu, sometimes vyuo vyetu vinajidhalilisha saana kwa kuwa associated na vitu vya kijinga.

Any university needs to ensure the communication/innovation is properly vetted so it sells the university name upon it's publication this goes to university staff too especially the supervisors, department associated or the lab they are associated.

That's they role, sio kuacha vitu vya kijinga kijinga vinaharibu Jina la chuo badala ya kulitangaza
Basi wasamehe wanafunzi hao. Wamekosea sana, hawatorudia tena 🙏
 
Then prototype zibaki lab au kwenye university newsletter sio zitoke kwa public.

In short they need to do it better.

Yaani kama kale kagari ka UD kananichefuaga nikikaona, chuo kikubwa halafu kinatoa kitu substandard
Una matatizo wewe. Yani project za wenzako zinakuchefua?
 
Basi wasamehe wanafunzi hao. Wamekosea sana, hawatorudia tena 🙏
Wanafunzi hawana shida waendelee na kazi,

Hapo intakiwa chuo intake over, iweke kahela kidogo (wasipende cheap popularity bila investment) wanafunzi na supervisors waipolish hiyo kitu hata for six months,

Ikitoka chuo kinajivunia kazi, na hata mwanafunzi anaiweka kwenye CV yake.

Vyuo vyetu haviinvest ndo maana unaona innovation za namna hii.

Kama masoud kipanya, mtu binafsi anaweza kufanya kazi Ile, why vyuo visifanye extra mile.

They have all the resources (students, supervisors, technicians, money, time, expertise) they are only lacking willingness.
 
Unajua maana ya kubuni ndugu??Unaweza buni kitu ambacho tayari wengine wanakitumia na taarifa zake ziko kwenye open sources kabisa.
 
Unajua maana ya kubuni ndugu??Unaweza buni kitu ambacho tayari wengine wanakitumia na taarifa zake ziko kwenye open sources kabisa.
Sahihi hawajabuni. Wameassemble but it's still a good thing
 
Then prototype zibaki lab au kwenye university newsletter sio zitoke kwa public.

In short they need to do it better.

Yaani kama kale kagari ka UD kananichefuaga nikikaona, chuo kikubwa halafu kinatoa kitu substandard
Clearly uko clueless kabisa kuhusu car concept mpaka production cycle, hao vijana hawana factory, so what? That’s normal practice duniani kote, many car companies design only, then outsource manufacturing to third parties, Instead ya kufikiri, mko busy kukosoa watu wanaojaribu kufanya kitu, that mentality is toxic AF
 
Unauliza kuhusu wanafunzi wa NIT au hao Burkina Faso. Maana nimeongelea NIT na Burkina Faso
Hao NIT wametumia magari yaliyokuwepo na kila kitu kilichokuwepo tayari kubuni gari la umeme. Wanafunzi hawana hela ya kujenga kiwanda
Ila Burkina Faso ndio wana kiwanda full cha kwao, baadhi ya materials yanatoka kwao na mengine wanaagiza kutoka China kisha wana assemble
Ndio kubuni huko?
 
Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira na unafuu wa gharama.

Tafadhali serikali, najua vitu vingi mnaboronga lakini kuhusu hili la magari walau mlichukulie serious. Burkina Faso tayari wanatengeneza magari ya umeme. Kwa wasioyajua yanaitwa "ITAOUA"
Na sisi hapa Tanzania tuwe na kiwanda chetu cha magari ya umeme. Anzeni na hawahawa vijana wa NIT. Mara nyingi ubunifu wa watu mnaacha upite tu mwisho wa siku kunakuwa hamna faida yoyote
Hebu safari hii badilikeni muwe serious na mageuzi ya viwanda Tanzania
View attachment 3531286

Unajua maana ya kubuni au kuvumbua?
Pamoja na pongezi nyingi kwa hao vijana ni kuelimishe tu kuwa...,
Huwezi kutengeneza kitu/Bidhaa iliyopo sokoni tayari useme umebuni au umevumbua
Kinachotakiwa ni utengeneze kitu/bidhaa yenye sifa za ziada ukilingnisha na zile zilizoko sokoni tayari tofauti na hapo: unatakiwa uangalie vizuri....
Mfano: Ujue China inazaliasha maefu ya magari tena ya kwenda hadi klm 600 bila kucharge; kwa hivyo kabla ya kupoteza muda ni vizuri kujipima kuwa bidhaa unayotengeneza itacompete kwa creteria gani sokoni?......
Inaweza kuwa Bei, Uimara, kusafiri umbali mrefu bila kucharge, kubeba mzigo mzito, kuweka technologia za kisasa ndani nk nk
 
Clearly uko clueless kabisa kuhusu car concept mpaka production cycle, hao vijana hawana factory, so what? That’s normal practice duniani kote, many car companies design only, then outsource manufacturing to third parties, Instead ya kufikiri, mko busy kukosoa watu wanaojaribu kufanya kitu, that mentality is toxic AF
Ningekutukaana, sema ustaarabu umenizidi

NIT wamelewa 60M USD kufanya expansion ya chuo ili kiwe university

Wanashindwa nn kufanya expansion ya Mechanical Lab Yao ili waweze kufanya assembling hata ya bodaboda au bajaji kama sio ujinga Tu.

Transport University wanatransport nn, kama hawawez hata kutengeneza chassis ya bajaji leave alone Metairie ya bodaboda ambapo investment cost haizidi 300M TZS.

Garage ngapi bongo hii zinatengeneza chassis mpaka za mabasi na board kabisa.

Sasa transport university itafundisha watunkuendesha magari Tu? Wanashindwa hata fanya customisation ili magari yafit mazingira ya kitanzania

STUPID kabisa
 
Back
Top Bottom