Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme

Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira na unafuu wa gharama.

Tafadhali serikali, najua vitu vingi mnaboronga lakini kuhusu hili la magari walau mlichukulie serious. Burkina Faso tayari wanatengeneza magari ya umeme. Kwa wasioyajua yanaitwa "ITAOUA"
Na sisi hapa Tanzania tuwe na kiwanda chetu cha magari ya umeme. Anzeni na hawahawa vijana wa NIT. Mara nyingi ubunifu wa watu mnaacha upite tu mwisho wa siku kunakuwa hamna faida yoyote
Hebu safari hii badilikeni muwe serious na mageuzi ya viwanda Tanzania
View attachment 3531286
Hivi ile movie ya Masudi Kipanya aliyeunda gari imefika wapi? Bongo kuna ushamba mwingi. Nchi nyingine mbona mitaani watu wanaunda magari kwa wingi tu. Haya ya kukusanya mota na mbati ukaunda ''gari'' sidhani kama ni jambo la ajabu. Kama kuna anayebisha waambie wajaribu kufanya hivi: watafute investor wa kuwadhamini waunde magari mengi, wauze na faida kubwa iende kwa mwekezaji. Waswahili husema chema chajiuza kibaya chajitembeza.
 
Hivi kwa nini huwa hatupendi kuendeleza project za watu
Mfano huyo Kipanya inaonekana Bongo hata ukiwa na ubunifu, kama hauna mtaji na support haufiki popote. Labda hatuna mpango wa kuwa na viwanda, wanasiasa wanatudanganya tu 🤔
Tatizo Wabongo kelele nyingi kuliko utendaji kazi, mtu ataanza kusifia akichobuni na kujumlisha ccm/siasa kuliko kuendelea kazi.
 
Kama serikali ikiwapuuzia hawatofika mbali. Kila mtu anajua kitu ambacho hao wanachuo hawana ni mtaji na support
Hata wakipewa support hawafiki popote. Huo ndo ukweli mchungu ambao hauhitaji hata kuthibitishwa.

Kwenye mambo ya ujenzi wa magari, dunia haipo tena kwenye kugundua kwasababu kila mtu akijipanga anagundua vizuri tu, magereji kibao sikuhizi wanaweza kufanga assembling wakaja na kitu kizuri zaidi.

Kinacho matter ni productivity ya operations zako za kutengeneza hayo magari. Average cost ya gari moja itakuwa bei gani? Na utaweza kutengeneza magari mangapi kwa mwaka?

Ukijijib hapo unakuja kwenye market penetration. Je hiyo brand itapokelewa sokoni kwa uaminifu au mashaka? Yaani hilo gari litamfanya mtu aache kuagiza IST Japan halafu aende hapo NIT kununua hilo gari???

Hayo sio maswali marahisi kuyajibu. Na hayana uhusiano na ikiwa serikali inatoa support au lah.

Kingine ni kuhusu labor productivity. Hao ma engineer uwezo wao haswa upo vip? Je serikali itaweza kutoa support ya bilioni 500 na kuendelea kuwaajiri hao hao ma engineer? Au serikali ikafanye shoping ya ma engineer wenye viwango hapo nchini China?

Hayo maswali sio mepesi kuyajibu.

Mara nyingi huwa tunajificha kwenye kichaka cha, "serikali haitoi support," lakini huo sio uhalisia.
 
Hivi kwa nini huwa hatupendi kuendeleza project za watu
Mfano huyo Kipanya inaonekana Bongo hata ukiwa na ubunifu, kama hauna mtaji na support haufiki popote. Labda hatuna mpango wa kuwa na viwanda, wanasiasa wanatudanganya tu 🤔
Hakuna mtu au serikali inayowekeza kwa watu wanaounganisha mabati na mota na kuita ni magari. Watafute wawekezaji waanzishe kiwanda na baadae wagawane faida kama watapata.
 
Hata wakipewa support hawafiki popote. Huo ndo ukweli mchungu ambao hauhitaji hata kuthibitishwa.

Kwenye mambo ya ujenzi wa magari, dunia haipo tena kwenye kugundua kwasababu kila mtu akijipanga anagundua vizuri tu.

Kinacho matter ni productivity ya operations zako za kutengeneza hayo magari. Average cost ya gari moja itakuwa bei gani? Na utaweza kutengeneza magari mangapi kwa mwaka?

Ukijijib hapo unakuja kwenye market penetration. Je hiyo brand itapokelewa sokoni kwa uaminifu au mashaka? Yaani hilo gari litamfanya mtu aacha kuagiza IST Japan halafu aende hapo NIT kununua???

Hayo sio maswali marahisi kuyajibu. Na hayana uhusiano na ikiwa serikali inatoa support au lah.

Kingine ni kuhusu labor productivity. Hao ma engineer uwezo wao haswa upo vip? Je serikali itaweza kutoa support ya bilioni 500 na kuendelea kuwaajiri hao hao ma engineer? Au serikali ikafanye shoping ya ma engineer wenye viwango hapo nchini China?

Hayo maswali sio mepesi kuyajibu.

Mara nyingi huwa tunajificha kwenye kichaka cha, "serikali haitoi support," lakini huo sio uhalisia.
Kwa nini Burkina Faso wameweza? Au wao hawakufikiria hayo maswali yako?
 
Hawa wanaota ndoto. Magari yanayotengenezwa sasa hivi yako advanced kweli na wenyewe wanakuja na magari kama yale vita kuu ya kwanza ya dunia. Siyo kila chenye tairi na kuundwa na mabati ni gari.
 
ok nimekusoma.
mana mimi mwenyewe nifundi magari lakini kuunda la kwangu nimekwama

nimejiuliza hawa wamewezaje kuunda gari lao wenyewe vifaa wametoa wapi isitoshe ni gari ya umeme mwingi kumbe wameagiza vifaa wakaja kuiasembo tu

kwamantiki hiyo bado hawajaunda gari wamekopi tu
 
Magari yanatengenezwa vilevile duniani kote kwa hiyo hata ukicopy kwa mtu, muhimu uwe na kiwanda nchini kwako
Mfano Apple walipotengeneza smartphone mwaka 2007, ina maana Samsung, Huawei, Xiaomi nk hawakupaswa kutengeneza simu zao wenyewe kwa sababu Apple tayari wanatengeneza?
 
Hawa wanaota ndoto. Magari yanayotengenezwa sasa hivi yako advanced kweli na wenyewe wanakuja na magari kama yale vita kuu ya kwanza ya dunia. Siyo kila chenye tairi na kuundwa na mabati ni gari.
Upo sahihi, kwa technolojia ilipo kwa sasa, sio profitable kwa nchi kama Tanzania kuwekeza kwenye ujenzi wa magari.

Huko duniani watu wanaounda magari hawashindani kutengeneza gari inayotembea tu (kwasababu hiyo kila mtu anaweza), wanafikiria issues kama engine strength, AI controlled vehicle, design ya body iwe sex.

Kwa purpose ya kujifunza hakuna shida, ila huu ni ugunduzi ambao hautatui tatizo.

Walichofanya ni repackaging of existing idea and call it invention!
 
Kwa hiyo in short hatupaswi kuwa na viwanda vya magari, sio?
 
Magari yanatengenezwa vilevile duniani kote kwa hiyo hata ukicopy kwa mtu, muhimu uwe na kiwanda nchini kwako
Mfano Apple walipotengeneza smartphone mwaka 2007, ina maana Samsung, Huawei, Xiaomi nk hawakupaswa kutengeneza simu zao wenyewe kwa sababu Apple tayari wanatengeneza?
kwani sumsung wanaenda kuchukua matirio kwa apple?

au hizo kampuni zinazalisha sim zinazofanana?
 
Upo sahihi, kwa technolojia ilipo kwa sasa, sio profitable kwa nchi kama Tanzania kuwekeza kwenye ujenzi wa magari.

Huko duniani watu wanaounda magari hawashindani kutengeneza gari inayotembea tu (kwasababu hiyo kila mtu anaweza), wanafikiria issues kama engine strength, AI controlled vehicle, design ya body iwe sex.

Kwa purpose ya kujifunza hakuna shida, ila huu ni ugunduzi ambao hautatui tatizo.

Walichofanya ni repackaging of existing idea and call it invention!
Kwa kujifunza au hobby ni sawa kabisa na duniani kote kuna watu wengi wanafanya hivi. kiingia YouTube kuna clips nyingi sana za watu wametengeneza magari yao. Tatizo letu ni pale watu wanapoanza kudai serikali iwaanzishie viwanda.
 
Kwa nini Burkina Faso wameweza? Au wao hawakufikiria hayo maswali yako?
Hujanielewa kumbe.

Issue sio kutengeneza gari (watu kibao mbona wanaunda vitu vikali)

Issue nzima ipo kwenye project viability. Nisome tena.

Kutengeneza gari hakuna maana kama project sio viable.

Hizi ni aina fulani za project ambazo serikali wanazikumbatia ili kuwapa raia wao confidence, ila haziwezi kuleta tija yoyote.

Yaani mtu unaenda kabisa show room kununua hiyo gari inayotembea inanyata.
 
Kwa hiyo in short hatupaswi kuwa na viwanda vya magari, sio?
Tumeshachelewa.

Na kama kiwanda mbona nyumbu ipo miaka mingi tu. Pakuanzia palikuwa hapo, na tungefanya zamani. Ila kuanza kujenga viwanda vipya vya magari ni kupoteza pesa.

Ingekuwa inalipa ingeshafanyika kitambo. Hao akina Mo unadhani hawajawahi kufikiria hilo wazo?

Walikuwa nalo sema waliona ni project isiyokuwa viable na kama wangeanza wangefeli tu.
 
kwani sumsung wanaenda kuchukua matirio kwa apple?

au hizo kampuni zinazalisha sim zinazofanana?
Kwa mfano Apple kwenye iPhone wanatumia display za Samsung, LG na BOE, camera sensors za Sony, memory (NAND/DRAM) kutoka kwa Samsung na Kioxia (Toshiba), kwenye processor wana design wao ila wanategemea kutengenezewa na TSMC, betri wananunua kutoka makampuni ya China, modems kutoka kwa Qualcomm na chips nyingine kutoka kwa makampuni mengine
Vingine wanatengeneza wao, kiujumla vyote wanaunganisha wanapata iPhone, zinaenda kuuzwa sokoni
 
kwahio hivyo vifaa ulivyotaja kwa mfano kamera ya sony inafanyakazi au inakaa kwenye iphone?
 
Back
Top Bottom