Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
- Thread starter
- #41
Na wewe hujanielewa. Kumbe unadhani niliposema tufungue kiwanda nilimaanisha tuwe tunatengeneza gari kama hilo la wanafunzi wa NITHujanielewa kumbe.
Issue sio kutengeneza gari (watu kibao mbona wanaunda vitu vikali)
Issue nzima ipo kwenye project viability. Nisome tena.
Kutengeneza gari hakuna maana kama project sio viable.
Hizi ni aina fulani za project ambazo serikali wanazikumbatia ili kuwapa raia wao confidence, ila haziwezi kuleta tija yoyote.
Yaani mtu unaenda kabisa show room kununua hiyo gari inayotembea inanyata.
Hilo gari lipo hivyo kwa sababu ni project tu ya wanafunzi, na it was meant to be as cheap as possible. Lakini ukifungua kiwanda gari haliwezi kuwa baya hivyo. Hilo gari la wanafunzi wa NIT ni baya kwa sababu imeundwa na team ya watu wanne halafu ni cheap, ukiwekeza hela na watu wengi gari linakuwa zuri zaidi
Mfano angalia hizi picha mbili. Haya ni magari ya umeme ya ITAOUA yanayotengenezwa Burkina Faso, na ni proper cars kabisa. Sio kwamba ukiendesha linadunda hovyo hovyo
ITAOUA, model ya SAHEL. Made in Burkina Faso 👇