Wahouth wa Yemen wanavyomtembezea Israel kichapo

AI hiyo!!!
Wenzako walikataza hizo news zisitolewe wananchi wa Israel waka rusha hizo clip namna walivyo pelekewa moto huko Jerusalem leo.

Huko Doha, Qatar walicho piga nikuonyesha Israel kisha filisika hana jipya na Hao alio taka kuwauwa hakuna hata mmoja wamemuwa zaidi ya kuwaua badhi ya mtoto na kama wawili wa family wa hao viongozi wa Hamas tena hao sio askari πŸ˜† πŸ˜‚
 
Hata kwa Yahya Sinwar,Muhammed Sinwar na Hassan Nasrallah mlijitahidi sana kuficha vifo vyao laminitis harufu ya mizoga yao iliwalazimisha mtangaze!!!
 
Mbavu zangu asee πŸ˜‚πŸ€£. Ila wee mbishi sana hahaha πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…