Wahouth wa Yemen wanavyomtembezea Israel kichapo

AI hiyo!!!
Wenzako walikataza hizo news zisitolewe wananchi wa Israel waka rusha hizo clip namna walivyo pelekewa moto huko Jerusalem leo.

Huko Doha, Qatar walicho piga nikuonyesha Israel kisha filisika hana jipya na Hao alio taka kuwauwa hakuna hata mmoja wamemuwa zaidi ya kuwaua badhi ya mtoto na kama wawili wa family wa hao viongozi wa Hamas tena hao sio askari 😆 😂
 
Hata kwa Yahya Sinwar,Muhammed Sinwar na Hassan Nasrallah mlijitahidi sana kuficha vifo vyao laminitis harufu ya mizoga yao iliwalazimisha mtangaze!!!
 
Wenzako walikataza hizo news zisitolewe wananchi wa Israel waka rusha hizo clip namna walivyo pelekewa moto huko Jerusalem leo.

Huko Doha, Qatar walicho piga nikuonyesha Israel kisha filisika hana jipya na Hao alio taka kuwauwa hakuna hata mmoja wamemuwa zaidi ya kuwaua badhi ya mtoto na kama wawili wa family wa hao viongozi wa Hamas tena hao sio askari 😆 😂
Mbavu zangu asee 😂🤣. Ila wee mbishi sana hahaha 🤣😂
 
Back
Top Bottom