Wahouthi wataarifiwa wakae mkao wa kupigwa sana

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Majeshi ya Marekani yamewaambia askari wa Israel wasijishughulishe na Magaidi wa Houthi badala yake wao Marekani wako tayari kuwanyoosha magaidi hao.

Hayo yamejiri baada ya Wahouthi kuzidi kurusha makombola ya huko Israel pamoja na kwamba hakuna korbola lolote kutoka Yemen limeleta uharibifu huko Israel maana karibu yote yamepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga na mengine kuangukia sehemu za wazi.

Kwenye video hapo chini ni wanajeshi wa Marekani Waki weka sawa makombola yao yatakayotumika kuwapiga magaidi wa Houthi huko Yemen.

View attachment 3281850
Dunia tungegawana hizo rasilimali wanazoziharibu kulundika missiles ili kuuwa binadamu ambaye Kabali ya mkono tu inammaliza au sumu ya panya ya 500 tu.
 
Subiri kushangilia ushindi wa wahouthi wakati marekani anaaibika.
Ina wewe mpaka sasa hivi hujafuturu tu? Maana maneno unayoyasema ni kama unasumbuliwa na Njaa kali!!
 
Kwani hao jamaa hawawezi tu kukaa kwa amani kama sisi wasukuma na wazinza tunavyokaa kwa amani na kupendana na kuotheshana
 
Watakaaje kwa Amani wakati magaidi wanawavamia na kuteka watu wao??
 
Kwani hao jamaa hawawezi tu kukaa kwa amani kama sisi wasukuma na wazinza tunavyokaa kwa amani na kupendana na kuotheshana
Sasa waislamu wanapigana Bukinafaso kwa Ibrahim Traore, ukiuliza why wanapambana na serikali, huwezi kupata majibu ya maana. Hawa Houth kama sikosei, wameanza shida pale kabla ya October 07, 2023; walianza kuteka meli zinazo toka Ulaya, USA kwenda maeneo mengine ya dunia, wakaendelea kuteka zinazo kwenda na kutoka Israel; ukiuliza sababu why wanafanya hivo, huwezi kupata sababu ya maana. Ni watu wanapenda kupigana, wana ALEJI mno na amani
 
Majeshi ya Marekani yamewaambia askari wa Israel wasijishughulishe na Magaidi wa Houthi badala yake wao Marekani wako tayari kuwanyoosha magaidi hao.

Hayo yamejiri baada ya Wahouthi kuzidi kurusha makombola ya huko Israel pamoja na kwamba hakuna korbola lolote kutoka Yemen limeleta uharibifu huko Israel maana karibu yote yamepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga na mengine kuangukia sehemu za wazi.

Kwenye video hapo chini ni wanajeshi wa Marekani Waki weka sawa makombola yao yatakayotumika kuwapiga magaidi wa Houthi huko Yemen.

View attachment 3281850
Kitaalam kwa sisi wazee wa vita tunaona Marekani imewekewa mtego na itakwenda pigana vita muda mrefu ili iwe busy na migogoro isiyoisha🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom