Wahouthi wataarifiwa wakae mkao wa kupigwa sana

Wahouthi wataarifiwa wakae mkao wa kupigwa sana

Majeshi ya Marekani yamewaambia askari wa Israel wasijishughulishe na Magaidi wa Houthi badala yake wao Marekani wako tayari kuwanyoosha magaidi hao.

Hayo yamejiri baada ya Wahouthi kuzidi kurusha makombola ya huko Israel pamoja na kwamba hakuna korbola lolote kutoka Yemen limeleta uharibifu huko Israel maana karibu yote yamepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga na mengine kuangukia sehemu za wazi.

Kwenye video hapo chini ni wanajeshi wa Marekani Waki weka sawa makombola yao yatakayotumika kuwapiga magaidi wa Houthi huko Yemen.

View attachment 3281850
Wameambiwa wakae mkao mzuri wagegedwe.... Hatari sana. Safi sana.
 
Kitaalam kwa sisi wazee wa vita tunaona Marekani imewekewa mtego na itakwenda pigana vita muda mrefu ili iwe busy na migogoro isiyoisha🤣🤣🤣🤣
Unajifariji....naona faraja inatafutwa kwa kila namna....eti mtego hiyo mitego toka tuanze kuongea siku Hamas wanachapika mpaka sasa wanaishi mashimoni tu. Hakuna mtego ni kipigo kinaenda tokea.
 
Naona Mataifa ya uovu duniani yanafagiliwa kwa uharibifu wa mali na mauaji ya halaiki.
Sasa hao si wanawashwa wenyewe na misuli yao na kobazi, nchi yenyewe njaa tupu bado wanataka kipigo.
Maana kupigana kwenyewe hawawezi
 
🇾🇪 Breaking: 75% of US shipping traffic that was supposed to transit through the Red Sea has been diverted to the southern coast of Africa due to Yemeni strikes, according to US National Security Advisor Mike Waltz.

🔹@enemywatch
 
Back
Top Bottom