Dunia tungegawana hizo rasilimali wanazoziharibu kulundika missiles ili kuuwa binadamu ambaye Kabali ya mkono tu inammaliza au sumu ya panya ya 500 tu.Majeshi ya Marekani yamewaambia askari wa Israel wasijishughulishe na Magaidi wa Houthi badala yake wao Marekani wako tayari kuwanyoosha magaidi hao.
Hayo yamejiri baada ya Wahouthi kuzidi kurusha makombola ya huko Israel pamoja na kwamba hakuna korbola lolote kutoka Yemen limeleta uharibifu huko Israel maana karibu yote yamepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga na mengine kuangukia sehemu za wazi.
Kwenye video hapo chini ni wanajeshi wa Marekani Waki weka sawa makombola yao yatakayotumika kuwapiga magaidi wa Houthi huko Yemen.
View attachment 3281850
Akili hunaHakuna mauaji ya halaiki huko!!!
Subiri kushangilia ushindi wa wahouthi wakati marekani anaaibika.Mechi kama hizo Marekani hua anaziweza sana.
Kupigana na vikundi vya watu.
Ingawa mechi hua zinaisha kwa aibu.
Kwahiyo ni jino kwa jinoWatakaaje kwa Amani wakati magaidi wanawavamia na kuteka watu wao??
Tatizo ni itikadi kali za kiimaniKwani hao jamaa hawawezi tu kukaa kwa amani kama sisi wasukuma na wazinza tunavyokaa kwa amani na kupendana na kuotheshana
Nchi za kiarabuNani Ana itikadi kali za kiimani?
Sasa waislamu wanapigana Bukinafaso kwa Ibrahim Traore, ukiuliza why wanapambana na serikali, huwezi kupata majibu ya maana. Hawa Houth kama sikosei, wameanza shida pale kabla ya October 07, 2023; walianza kuteka meli zinazo toka Ulaya, USA kwenda maeneo mengine ya dunia, wakaendelea kuteka zinazo kwenda na kutoka Israel; ukiuliza sababu why wanafanya hivo, huwezi kupata sababu ya maana. Ni watu wanapenda kupigana, wana ALEJI mno na amaniKwani hao jamaa hawawezi tu kukaa kwa amani kama sisi wasukuma na wazinza tunavyokaa kwa amani na kupendana na kuotheshana
Kitaalam kwa sisi wazee wa vita tunaona Marekani imewekewa mtego na itakwenda pigana vita muda mrefu ili iwe busy na migogoro isiyoisha🤣🤣🤣🤣Majeshi ya Marekani yamewaambia askari wa Israel wasijishughulishe na Magaidi wa Houthi badala yake wao Marekani wako tayari kuwanyoosha magaidi hao.