Wahu (mke wa Nameless) ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi, unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?

Wahu (mke wa Nameless) ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi, unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?

Nakumbuka chali mmoja akinikatia

my dear you know that you are my number one

sikujua kulikuwa na number two, number three and number four

[dunia ina mambo]
juzi nilimuona kilabu Nairobi na ndogondogo miaka yake ishirini eh

Mbona mzee hutulii nyumbani kwako
usome gazeti
ule chakula cha mkewe au
ukapewe na wazee wenzako woh
[dunia ina mambo]
vunja mifupa kama meno bado iko
ooh lakini kufukuzana na watoto ehh
acheni aibu ndogo ndogo ooh

Wahuu[emoji7][emoji7][emoji7]
 
Ukimpata anaekupenda shikilia shikilia
Mwenye tabia za kupendeza
Mwenye heshima ya watu wotee eeh
My dear usiachilie eeh

Still liar ni moja ya nyimbo zng pendwa toka kwa wahu
 
Ile ngoma,
Mkono mmoja weka juu, weka juu...[emoji16]
 
Back
Top Bottom