Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Fungu la kumi ni pesa kwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unambie Yakobo alitoa kwa kuhani gani.?
Katika Biblia imeandikwa Fungu la Kumi si kwa ajili ya Watumishi au makuhani peke yake.
Fungu la kumi ni kwa ajili ya watoto yatima au wajane, au wageni nyumbani kwako, au makuhani.
Jambo jingine tunatakiwa kufahamu kuwa Fungu la 10 limekuwepo hata kabla ya Sheria ile aliyopewa Musa.
Maisha ya Ibrahimu ambayo kwa lugha nyepesi twaweza sema yalikuwa katika mfumo wa neema hayana tofauti na Sasa maana aliishi kwa imani tu kama vile inavotupasa sisi tunaomani sasa katika Yesu kristo kuishi hivo.
Fungu la kumi ni kama ahsante kwa Mungu na ndo maana ukimsoma vizuri Ibrahimu utoaji wake wa Fungu la 10 ulijikita zaidi kumoa Mungu shukrani na utukufu kwa namna ambavyo yuko na haikujikita katika Sheria.
Asaiv kuna watu wengi tu ambao hawatoi 10% wengi wanatoa zaidi ya hiyo na wengine hawatoi kabisa.
Tukumbuke kuwa Torati ya Musa ni kivuli cha yale mambo yaliyoko ndani ya neema.
Ficha upumbavu wakoFungu la kumi lilikuwepo kabla ya Torati ya Mussa.
Mwanzo 14
18 Na Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye juu sana.
19 Akambariki, akasema, Abramu na abarikiwe na Mungu Aliye juu sana, Muumba mbingu na nchi.
20 Ahimidiwe Mungu Aliye juu sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote.
Yakobo naye alitoa fungu la kumi na hii ni kabla ya Torati.
Mwanzo 28
22 Na jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi.
Katika Agano jipya Paulo anasisitiza kuhusu kutoa kwa makuhani wa Injili na akisisitizia kuwa Ibrahimu alimpa fungu la Kumi Melkizedeki
Waebrania 7
2 ambaye Ibrahimu alimgawia sehemu ya kumi ya vitu vyote; (tafsiri ya jina lake kwanza ni mfalme wa haki, tena, mfalme wa Salemu, maana yake, mfalme wa amani;
Hao wote hawakutoa fungu la kumi kwa sheria kwani kipindi hiko sheria haikuwepo walikuwa katika kioondi cha dhamiri. Dhamiri zao ziliongozwa kwa upendo wa Mungu walimtolea Mungu fungu la kumi.
Hata sasa hatutoi fungu la kumi kwa kufuata torati ila tunatoa kwa Upendo wetu kwa Mungu.
NASHAURI: Nyie vijana mjitahidi kuwa wanyenyekevu kwenye utumishi Mungu anaowapa. Acheni ujuaji kwani mambo mengi hamjui.
Kwa kuwa aliahidi tunaamini alifanikisha kutoa.Yakobo Biblia haijawahi kumwonyesha akitoa fungu la kumi. Ila maandiko yanaonyesha akiahidi kuwa atatoa fungu la kumi.
Ibrahim alitoa fungu la kumi kwa Kuhani Melkizedeki
Kama unaandiko linaloonyesha mtu yeyote akitoa fungus la kumi la Mungu kwa mtu Nje ya Kuhani unaweza kuonyesha
Tangu mwaka 1990 nilipokuwa darasa la 4 nilipoanza kusoma biblia hadi sasa sijawahi kuraba na hiko kifungu mkuu. 😀😃😀😀
Sasa wewe unajiita Mamasamia utakuwa na akili. 🚮Ficha upumbavu wako
Ulifafanua kama nani? Pumbavu.Fungu la 10 ni utapeli. Nilishafafanua.
Fungu la 10 ni kitu ambacho hakipo kwa sasa kwa mujibu wa biblia na ni kujiumiza bila sababu kuendelea kutoa
Kwa sasa kumekuwa na msisitizo mkubwa mno makanisani watu kutoa pesa inayotajwa kama fungu la 10 (zaka) kiasi kwamba imegeuka kero kubwa kwenye jamii. Wanawake wamekuwa wahanga wa kuchotwa akili zao na kujikuta wanatoa hadi pesa za kujikimu na kuingiza familia kwenye matatizo yasiyo ya lazima...www.jamiiforums.com
Kwa kuwa aliahidi tunaamini alifanikisha kutoa.
Afadhali hiyo ya serikali maana naweza kuendesha gari langu kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kwenye barabara ya lami. Hapo najua kuna kitu kimefanyika. Hawa wahubiri wa kikristo asilimia 99 ni wizi na upuuzi mtupuMaisha haya aisee...kwa Mungu 10%, Serikali 18%. Yani Kila ukiamka unadaiwa 28% ya unachotafuta...bado PAYEe
Hiyo ni shortcut ya mtu asiyekuwa na hoja wala elimu kwenye jambo husika. Wala sikukuita hapa kwa hiyo puuzia. Ila upuuzi huu kuna siku akili za watu zitaamka na kuukataa.We nimeshakupuuzia kwani hujitambui. Bye
Mungu akinijalia uwezo nitajitahid kusaidia wasiojiweza yatima na wajane suala la kumpa mtu ela yangu na ana miguu na mikono ya kufanyia kazi hapanaMaisha haya aisee...kwa Mungu 10%, Serikali 18%. Yani Kila ukiamka unadaiwa 28% ya unachotafuta...bado PAYEe
Hata wengi waliokisoma kitabu chao hawakukielewa. Ni kama huyu mmoja aliyelta habari za Ibrahim na Yakobo kwenye huu Uzi. Yaani wanafasiri maandiko out of context. No wonder sasa kuna maelfu ya madhehebu ya kikristo kwa sababu hiyo.mwamposa na Kuhani Musa watakuua.
Ishu kubwa ni kuwa Wakristo hawasomi kitabu chao
Upo sahihi kabisa,I second you...siwezi mpa hela anaenda nunua vitu vya anasa.Mungu akinijalia uwezo nitajitahid kusaidia wasiojiweza yatima na wajane suala la kumpa mtu ela yangu na ana miguu na mikono ya kufanyia kazi hapana
Hata msikitini sadaka yangu Huwa natoka kwenye msikit naona unauhitaji labda ujenzi haujaisha Zaid ya hapo hapana wakalime tu kama wengine
Upo sahihi,ni kuwasaidia tu watu wenye uhitaji ndio muhimu...unaombewa ununue gari,yy akitaka anataka mchange.Afadhali hiyo ya serikali maana naweza kuendesha gari langu kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kwenye barabara ya lami. Hapo najua kuna kitu kimefanyika. Hawa wahubiri wa kikristo asilimia 99 ni wizi na upuuzi mtupu
Fungu la kumi lilikuwa agizo la Mungu kuwategemeza wana wa kabila la Lawi ambao hawakupewa mashamba kwenye nchi ya kanaani. Ilikuwa kama umepewa shamba Kanaani utapaswa kutoa fungu la kumi la mazao. Ndio maana mpaka leo mwisraeli anayeshi Marekani au kwingineko halazimiki kutoa fungu la kumi maana hakupata mapato ndani ya ardhi ya Israel. Wana utaratibu tu wa kutoa ili kuwasaidia wahitaji. Sasa wakristo wamerukia mambo yasiyowahusu na kuwatapeli wasioelewa. Wanafuata fundisho la fungu la kumi la watu ambao wamekataa kwamba Yesu si mwokozi au kwa maneno mengine hawajaokoka! Wanajali pesa tu japo fundisho au agizo lenyewe ni la wayahudi!Fungu la kumi wanapewa Makuhani.
Siku hizi kuna makuhani?
Kulingana na Sheria za Dini hasa kama ulivyonukuu Biblia, embu Tupe sifa kuu Tatu za Mambo au masharti ya mtu kuwa Kuhani.
Ili watu wajue hizo Zaka(fungu la kumi) wanatoa sehemu sahihi au Laa.
Nasifikiri unajua Biblia yote sio Sheria. Hivyo vifungu utakavyonukuu utatoa Aya za Sheria
Kwakweli hapanaUpo sahihi kabisa,I second you...siwezi mpa hela anaenda nunua vitu vya anasa.
Agano la kale na agano jipya ni imani mbili tofauti. Najua wapo watabisha lakini kwa mtu aliyesoma maandiko hatlya katika lugha mama (kiebrania, kiaramayo na kigiriki) na kufanya Analysis ya kutosha atagundua inconsistency nyingi tu .Kama ndio hivi basi mngelifuta Agano la kale kwenye Biblia zenu.
Huo mstari wao huupita kama hawauoni😄Hivi Kaini na Habil waliamriwa kutoa ile sehemu ya vinono vya au walijisikia moyoni kutoa tena kwa kuteketeza bila kumpa mtu chochote?
Utoaji Ni Muhimu. Kumrudishia Mungu kwa Kuwasaidia Wajane, Yatima na wasiojiweza, Wenye Majanga mbalimbali , misiba n.k...
Ile ya kutoa kwa Lazima haikubaliki.
Imeandikwa "Chukua sehemu ya kumi ya mali yako kisha tafuta sehemu nzuri utakayopendezwa nayo uende ukaile huko na kufurahia mema ya Mungu."
Mtume Yakobo ameandika kabisa kwamba DINI ILIYO SAFI MBELE ZA MUNGU NI KUWASAIDIA YATIMA NA WAJANE NA KUJIEPUSHA NA DHAMBI. Lakini fungulia redio za hawa wakristoambo leo kutwa kucha ni kutangaza namba za simu za kutuma pesa(aka sadaka). Binadamu amkeni kataeni huu upuuzi. Tupo nyuma kimaendeleo duniani na bado wapo wenzetu wanatulisha madawa ya kulevya ya kiimani. Wake up my nation!Upo sahihi,ni kuwasaidia tu watu wenye uhitaji ndio muhimu...unaombewa ununue gari,yy akitaka anataka mchange.