Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Siku Moja baada ya ibada,tukaitwa vijana kikao eti tuanzishe mfuko wa kumuwezesha mchungaji mafuta ya gari na safari anazozifanya... Mimi nikawauliza,gari mlimchangia( Mimi sikuchanga), na mafuta Tena? Je yeye Hana shughuli yyte ya kumuingizia pesa? Nikashauri tu kuwe vianzishwe vyanzi vya mapato hapo kanisani lakini sio kuchangia,walinichukia...sijui wanaendeleaje huko,maana nilikaa nao mbali nikarudi Catholic kwangu.Kwakweli hapana