Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Wewe walishakubagua pale? Sehemu yenyewe mbona ya kichovu tu, au kwa sababu inaangalia baharini, si muende hata hapo jirani msasani beach napo kuna mapombe, kwani ni lazima mnywe fish market tu?!ttzo lipo acha ubish
Wana maslahi yao hapoKuna ulazima upi wa kwenda hapo wakati pesa ni yako!
Hakuna hata maajabu sema tu ndo vile kiwanja kikiwa kipya watoto wote wa mjini wanaenda,Huko wavuvi camp kukoje.
Maana dogo kaniambia jana twende huko coco beach panaitwa wavuvi camp.
Sasa nisije kupata tena maumivu ya kichwa wiki nzima.
Kumbe ndo sababuWazungu wanaacha bakhshishi sa' tufanyeje
na hapo katumia filter, hivi hivi unakimbiaHuyo dada wa kwanza na hiyo mijicho anavyoiweka hata mimi ngembagua tu amekaa kishari shari sana.... Alienda kufanya nini huko? Hawa huwa wanaenda pale wapige tu picha za kurusha insta.
soon wadada wadangaji wa mujini wataenda kuweka kambi hapo johari rotana.Kiwanja cha wajanja kwa sasa ni Dar es salaam Johari Rotana,(a 5 star hotel)
Pananoga pale asikwambie mtu esp Fridays...ila tu uwahi 8th floor swimming pool by 6-7 uwe umekalia seat otherwise utakaa bar ndani..maana ni fire
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hatari sana....hapo amepaka make up na filter juu... Huyo mi nakataa hata kumuuzia kitu. Amekaa kiswahili sana.na hapo katumia filter, hivi hivi unakimbia
Kama huyo aliekuwa analalamika hayo malipshine anaonekana ni kahaba mzoefuHakuna aliyebaguliwa hapo CTFM bali hao ni makahaba wanaoenda kujaza viti na kusumbua wateja na kuwaibia wakiwa wamelewa,
Ndio maana sasa hivi viwanja vingi kuna utaratibu wa Table Reservation kama hujaweka meza huingii ndani na kuanzia saa moja ndio wateja halisi huanza kuingia kwa hiyo hao makahaba unaowatetea huambiwa wapishe meza za wateja waliozizuia kitendo hicho hukiita ubaguzi ila deep down wanajua kabisa wanakosea (ilishatukuta hii Wavuvi Kempu baada ya wadada kunyanyuliwa sie tukae wakagoma hadi walipokuja walinzi ndio wakatoka) kiufupi wahudumu wanawajua vema hao wadangaji na usumbufu wao,
Tanzania hakuna Ubaguzi wa Rangi sio kwa karne hii.
....Huku kwetu wali nazi 100 ukifika unakutana na tabasamu la Odo Mammi, hujakaa sawa unafuatwa na Chonge mrembo mweupe, hapo Saumu Mashauzi anakukonyeza kwa kukuminyia jicho, Miza nae anakuegemea bega anakuuliza utakula samaki wa kupwaza na maharage ya kukata au samaki makange Maarufu kama Samaki Makange Nuksi..... unaulizwa utakula na wali wa nazi ngapi 3, 6, 9 kbl hujajibu Mama mkubwa anajibu huyo anakulaga wali wa nazi 3, mwingine anadaki mchicha je unataka wa kuloweka kwa tui au wakulowekwa kwa maji ya madafu...
Njooni huku kwetu barabara ya 17 ali maarufu kwa jina la wali nazi 100 hutalalamika, unahudumiwa hadi unahisi kabisa unamlipa pesa pungufu. Mbarikiwe nyie kina mama hapo Barabara ya 17, nazunguzia Tanga hiyo wazeee, njooni!!!