ttzo lipo acha ubishAkina dada popote pale hata kwenye bar za kawaida wanaleteana vitimbi tu...
Huyu fish market mnamvalia njuga bure tu, inferiority complex ni ugonjwa.
Sisi ngoz nyeus watu hatujitambui kbs , ndani ya nchi yetu unataka kulea huu uchafu ? nenda kwao ukafanye the same kama hujachomewa moto mgahawa wako , COMMENT YAKO IMEONESGA UBINAFSI WA HALI YA JUU , KUWA KAMA HAIKUSUMBUI BAS ITS NOT UR CONCERN , KWA AKILI HZ KUTOA NDOTOHao walalamikaji nao wamekosa kazi za kufanya
Lazima tujitambue , inshu sio kuhudumiwa ila inshu ni kulinda thaman yetu ndan yq nchi yetu kama wao wafanyavyo nchini kwao , NENDA KWAO FANYA THE SAME , KAMA MGAHAWA NI WAZUNGU TU BASI WAWEKE BANGO NJE KUONESHA NA SIO KULETA UBAGUZI WA KIJINGAKweli hahaha yani una lalamika hujahudumiwa si uende sehemu nyingine?
Mkuu ninaafiki yote uliyoyaandika hapo, ubovu wa service au chakula kwangu sio tatizo ILA lile la UBAGUZI WA RANGI, hii ni hapana mkuu, kuna watanzania wengi wanaishi pake Table viwe,Parklands working distance na HQ ya CTFM ,watapeleka hii clip mguu kwa mguu kwa PR wao,ni very very simple task, DSM Sheraton Hotel all managers kuanzia GM (alikua ni Frenchman, Jina linaanzia na Ce..),tulikua tunakula nao staff cafeteria,tunasimama nao Q ya msosi na kitchen staff wanatupa chakula equally, sio kuwa huyu ni GM apewe nyama bila mfupa, sembuse hiki kimgahawa cha hapo masaki kituletee ubaguzi wa rangi ndani ya nchi yangu, NO NOMuhimu giving it a second thought. Am going to find out the truth, ntatumia micro and macro variables. Ntaanza na prices za menu, type of customers especially regular customers, type of events, type of events their participants, price per pack, service personnel performance on spending per minute (SPM), table clearance, time taken to be served with meal, welcoming attitude ya wahudumu. Indicators za segregation kama zipo variability on service per service personnel, ntashinda huko na ntataka nihudumiwe na watu tofauti kama wanne hadi 6, naenda na pesa ya kutumia hasaa nijifunze kitu, if not possible I will make use three minutes conversations and find out from their facial reception, tone, enthusiasm etc. Halitapita bure hili.
kama wanataka unywaji wa spidi 120 waweke tu bango kuwa kinywaji unakunywa dk 2 baada ya hapo unafukuzwa , kwa upeo wenu mdg hamjui impact ya hii tabia kuilea , KWAO HUEZ FANYA THE SAME HATA KAMA UNA ELANi wajinga kwakweli....na utakuta hawana hela kama Evelyn hapa, glass moja ya juice masaa matatu ni kunywa kulamba yani....hebu waishie huko
haijalish kikubwa kanunua kitu bas huyo ni mteja , sasa hizo akili za kumhukumu mtu kwa kutumia ubongo wako uliofer olevel ndo hatutak kbs , la sivyo waweke mabango kuhusu muda wa kunywa kinywaji au muda wa kukaa hapo , SIUNG MKONO KIMSHUSHIA MTU HESHIMA KISA MUONEKANO WAKE UNAHISI ANATAFUTA MZUNGU , SIO VZR KUHISI KWA DHAHANIA , UMEFUNGUA OFISI KUUZA VINYWAJ NA CHAKULA FANYA YAKO MENGINE YA MTU KUKUTANA NA MZUNGU SIO CONCERN YAKOLabda ni wale wanaokaa masaa kibao wakisubiri wapate muthungu huku wakiwa na soda masaa mengi huku wakizuia viti
Nimeona video clip wanawaongelea wazungu tu
Nilikuwa nasubiri wanaume waje waseme pia
Mbona wanawake tu ?
Shukran kwa kutufungua hapa
Naona wanaenda kudanga tu
akinunua soda anakuwa sio mteja ? BADO WAAFRIKA NI PRIMITIVE SANA , JE WAMEWEKA BANGO KUSEMA TUNATAKA MTEJA WA KUANZIA KIASI FULANI NA SIO SODA ?Hakuna
Hao wanununuzi wa soda tu mpaka wachukuliwe na mteja
English sasa [emoji1] [emoji1787] ya kudanganyia wazungu
Ila wanajitahidi siku hizi maana miaka ya nyuma walikuwa wanalalamika wanachukuliwa wanaume na wakenya kwa kuzidiwa kimombo
una uhakika mkuu ? hv ukiombwa uthibitishe unaeza kutupa ushahidi ? na ndio hapa tunaona umuhimu wa madikteta ndan ya bara la afrika , Mwafrika akipewa uhuru wa kuongea anaongea lolote tu bila ushahidiWadangaji hao , huwa wanaboa
Ni kukosa kazi hukuSisi ngoz nyeus watu hatujitambui kbs , ndani ya nchi yetu unataka kulea huu uchafu ? nenda kwao ukafanye the same kama hujachomewa moto mgahawa wako , COMMENT YAKO IMEONESGA UBINAFSI WA HALI YA JUU , KUWA KAMA HAIKUSUMBUI BAS ITS NOT UR CONCERN , KWA AKILI HZ KUTOA NDOTO
na hapo ndipo mnafer mtu kanunua bia mengine yanakuhusu nini ? kwan ww upo kuzuia udangaj au kuuza chakula na vunywaji ? waafrika uswahili mwingi na ndio maana hatuendelei , kila kitu tunakifanya kwa mihemko hatutumii akili , mtu hajakaa bure ww unataka nn.kingine kama kanunua kinywajTatizo wanaoharibu hizo sehemu ni wale wadangaji wanaoenda saa 11 jioni wanajinunulisha bia moja inafyonzwa hadi usiku huku macho hayatulii kama fundi saa alopoteza nati.
Na sio CTFM tu hata Wavuvi Kempu wapo wengi, sasa wanawaponza wengine wanaoenda kwa lengo hasa la kula raha kwa pesa zao.
Kingine kuna utaratibu wa ku book meza naona hii wengi wameshindwa kuielewa na kuhisi wanabaguliwa pale wanapokaa kwenye meza baada ya muda wanaambiwa wanyanyuke kwa maana meza ina wenyewe.
Halafu huyu ni mmoja wa very respected member humu,Ubaguzi wa rangi it's NOT a joke, binafsi ni generation ambayo in my early 20s chupu chupu tunge m parachute Mr.Mrema State house (kilichotokea ni debate ya another day),ilikua ni kizazi cha push back sio kila wakati una roll over kama unapokua offside kwenye Rugby 🏉 game,kwa waliosoma Mkwawa CNE wanajua hili push back dhidi ya new Principal, ilipo CTFM ,kulikua na Italian restaurant Jina lake Casanova,pale kuna waiting staff alimeza bill ili kulinda systems ya wizi wa kiboi, alikua shujaa maana angefukuzisha waiting staff wote, kwenye kijiwe chetu pale mbele ya post ya zamani alichangiwa na kuwa looked after mpaka akatafutiwa kazi pale Alcove, hii generation ya sasa ni ya kulalama tu na kukimbiza viajira uchwaraSisi ngoz nyeus watu hatujitambui kbs , ndani ya nchi yetu unataka kulea huu uchafu ? nenda kwao ukafanye the same kama hujachomewa moto mgahawa wako , COMMENT YAKO IMEONESGA UBINAFSI WA HALI YA JUU , KUWA KAMA HAIKUSUMBUI BAS ITS NOT UR CONCERN , KWA AKILI HZ KUTOA NDOTO
Thread ifungwe, umeisha hiikabisa, huhitaji kupiga kelele au ni madada poa walishtukiwa. Kuna joints nyingi bongo, ukizinguliwa sehemu moja unakwenda pengine...ni kama daladala tu
Wewe huwa unapochangia hoja kwanini lazima uwe na majibu ya kashfa na matusi?haijalish kikubwa kanunua kitu bas huyo ni mteja , sasa hizo akili za kumhukumu mtu kwa kutumia ubongo wako uliofer olevel ndo hatutak kbs , la sivyo waweke mabango kuhusu muda wa kunywa kinywaji au muda wa kukaa hapo , SIUNG MKONO KIMSHUSHIA MTU HESHIMA KISA MUONEKANO WAKE UNAHISI ANATAFUTA MZUNGU , SIO VZR KUHISI KWA DHAHANIA , UMEFUNGUA OFISI KUUZA VINYWAJ NA CHAKULA FANYA YAKO MENGINE YA MTU KUKUTANA NA MZUNGU SIO CONCERN YAKO
Kama mnabaguliwa hameni nendeni sehemu ambapo mnapokelewa na mashamsham dearHata wewe respected member humu una support ubaguzi can't believe this, ubaguzi wa rangi ni dhambi kubwa mno ndio maana viashiria hata kama ni vidogo lazima vipigwe vita, yaani mtu humu akija na directly evidence kuwa CTFM RESTAURANT, Dar branch kuna ubaguzi wa rangi lazima binafsi will bring to attention kwa wahusika, yaani nipate recording ya mzungu kuwa treated tofauti na person of the colour pls post hapa
wamekaa kweny meza kwanin usiwafuate kuwasikiliza ? kwamba ukimuona mtu tu unajua anjiuza ? nkisoma comments za waswahili naona bado ELIMU HAIJAFANYA KAZ VICHWAN MWA WATU , no.excuse kweny hili , kama kuna utaratibu kwa nn wasiweke hata mabango kuonesha kuwa fanya booking kabla ya kukaa kwenye meza , MM SI MTU WA MAENEO HAYO ILA AWE MALAYA AU MDANGAJI KAMA ANANUNUA CHOCHOTE BASI MUHESHIMU SANA MAANA HIKO KIDOGO KINAKUFANYA UPATE MSHAHARA , WAZUNGU WAKUJA NA KUONDOKA , YOU NEVER KNOW TOMORROWMadada zetu wanaenda pale kujiuza hawana hela. Wanajaza meza tu wacha wabaguliwe: Yaani uwe na hela usihudumiwe? Haiwezekani
Sehemu ya Starehe watu wanakuja kutumia pesa sio kuonyeshana mavazi, tembea upanue maarifahata mimi ukija kwangu na muonekano wako wa ajab ajab kama wacheza singeli, nakufukuza. yanini kukaribisha panyaroad.
Bado Nina respect kwako, na sipendi mada hii ivunje hii respect kwako, ukijibu kama mazuzu wengi humu then nitafanya hivyo, hii ni mother land yangu na sitegemei kubaguliwa the way Mwenyezi Mungu alivyoniumba,iam proud Tanzanian n black, sitokubali ushenzi huu ufanyike ndani ya nchi yangu hii ni HAPANA, yaani ningekua nimepata directly clip ya kibaguzi muda huu ingekua tayari pale Table View, ila kuna watu humu wameahidi watakwenda pale na kutafuta ukweli kwa evidence, binafsi nikipata nafasi Nita pop pale, na pls mwenye clip zenye nyama zaidi post hapa, hii clip ya wadada hii haina ile vavumaa ya kupush hii caseKama mnabaguliwa hameni nendeni sehemu ambapo mnapokelewa na mashamsham dear
Huna akili kweli,na hapo ndipo mnafer mtu kanunua bia mengine yanakuhusu nini ? kwan ww upo kuzuia udangaj au kuuza chakula na vunywaji ? waafrika uswahili mwingi na ndio maana hatuendelei , kila kitu tunakifanya kwa mihemko hatutumii akili , mtu hajakaa bure ww unataka nn.kingine kama kanunua kinywaj