Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huyu hata mimi ngemnyima kukaa. Akakae huko kwake.... Jinsi anavyoongea....ana mdomo sana. Na hana hata point. Anasema amenyimwa kukaa kisa hali. Sasa yeye alitaka aende pale akapige picha mezani atume insta " nasubiria chakula hapa fish market" kisha ainuke aondoke..... Huyo dada sitaki hata awe mteja wangu na mimiVideo hii hapa
View attachment 2398549
Huko wavuvi camp kukoje.Hakuna aliyebaguliwa hapo CTFM bali hao ni makahaba wanaoenda kujaza viti na kusumbua wateja na kuwaibia wakiwa wamelewa,
Ndio maana sasa hivi viwanja vingi kuna utaratibu wa Table Reservation kama hujaweka meza huingii ndani na kuanzia saa moja ndio wateja halisi huanza kuingia kwa hiyo hao makahaba unaowatetea huambiwa wapishe meza za wateja waliozizuia kitendo hicho hukiita ubaguzi ila deep down wanajua kabisa wanakosea (ilishatukuta hii Wavuvi Kempu baada ya wadada kunyanyuliwa sie tukae wakagoma hadi walipokuja walinzi ndio wakatoka) kiufupi wahudumu wanawajua vema hao wadangaji na usumbufu wao,
Tanzania hakuna Ubaguzi wa Rangi sio kwa karne hii.
Ya kunywa hawana hiyo tip waitoe wapiPoleni sana, mue mnatoa tip, bhakshishi...
i don't see you mentioning bambalaga in your previous post.[emoji1370][emoji1370][emoji1370][emoji1370]Nimezungumzia Bambalaga bar & grill.
i insist, if you go out for a party or any enjoyment gathering, please dress well and look smart per organizers description. otherwise you will be embarrassed then kicked out like a dog.Sehemu ya Starehe watu wanakuja kutumia pesa sio kuonyeshana mavazi, tembea upanue maarifa
Ni maeneo gani hayo mkuu..Hapa Cape town fish market si ndio pale pembeni ya jengo la vipepeo mwewe hausi.
Tatizo wanaharibiwa na wale wanao enda kudanga ...Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.
Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa kusafishiwa viti vyao lakini meza ya wateja wazungu hata kama ni mmoja wapo miongoni mwa kundi la weusi wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka.
Ni video iliyorushwa na kinadada wakilalamika, hivyo hatujui kwa kina uhalali wa malalamiko yao, maana kinadada huwa wanaoneana sana wivu na kuumiza wao kwa wao.
Lakini kama hao wahudumu wa Fish Market wanaishiriki hiyo dhambi ya ubaguzi bila ya wao wenyewe kujua basi wanajitafutia laana zitakazokaa nao kwa miaka mingi ijayo. Huu ubaguzi wanaowafanyia weusi wenzao ndio huu huu tunaokutana nao tukiwa Ulaya na Marekani kwa wazungu.
Labda kinadada hawa hawajui madhara ya hicho wanachokifanya. Lakini ni hawa hawa wakiwa wanasota mitaani wakitafuta kazi wanakuwa wakitia sana huruma namna wanavyokuwa wachovu na mkono ukiwa shavuni.
Ubaguzi ni dhambi mbaya inayoumiza nafsi ya yule anayefanyiwa, mbaya zaidi ni kama hawa wahudumu wanajisahau wakiwachukulia poa wateja wanaowaona kwa mara ya kwanza.
View attachment 2398784
Huku kwetu wali nazi 100 ukifika unakutana na tabasamu la Odo Mammi, hujakaa sawa unafuatwa na Chonge mrembo mweupe, hapo Saumu Mashauzi anakukonyeza kwa kukuminyia jicho, Miza nae anakuegemea bega anakuuliza utakula samaki wa kupwaza na maharage ya kukata au samaki makange Maarufu kama Samaki Makange Nuksi..... unaulizwa utakula na wali wa nazi ngapi 3, 6, 9 kbl hujajibu Mama mkubwa anajibu huyo anakulaga wali wa nazi 3, mwingine anadaki mchicha je unataka wa kuloweka kwa tui au wakulowekwa kwa maji ya madafu...Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.
Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa kusafishiwa viti vyao lakini meza ya wateja wazungu hata kama ni mmoja wapo miongoni mwa kundi la weusi wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka.
Ni video iliyorushwa na kinadada wakilalamika, hivyo hatujui kwa kina uhalali wa malalamiko yao, maana kinadada huwa wanaoneana sana wivu na kuumiza wao kwa wao.
Lakini kama hao wahudumu wa Fish Market wanaishiriki hiyo dhambi ya ubaguzi bila ya wao wenyewe kujua basi wanajitafutia laana zitakazokaa nao kwa miaka mingi ijayo. Huu ubaguzi wanaowafanyia weusi wenzao ndio huu huu tunaokutana nao tukiwa Ulaya na Marekani kwa wazungu.
Labda kinadada hawa hawajui madhara ya hicho wanachokifanya. Lakini ni hawa hawa wakiwa wanasota mitaani wakitafuta kazi wanakuwa wakitia sana huruma namna wanavyokuwa wachovu na mkono ukiwa shavuni.
Ubaguzi ni dhambi mbaya inayoumiza nafsi ya yule anayefanyiwa, mbaya zaidi ni kama hawa wahudumu wanajisahau wakiwachukulia poa wateja wanaowaona kwa mara ya kwanza.
View attachment 2398784
Ndiyo wasilalamike sasa...Ya kunywa hawana hiyo tip waitoe wapi
Hii ina justify kubaguliwa sababu picha/video zake akiwa amevaa bikini ziko mtandaoni?
Muhudumu afanye kazi yake kwa kuzingatia maadili ya kazi yake na matakwa ya mteja,ikiwa muhudumu anatoa huduma nzuri kisa kuna tips au kutoa huduma mbaya kisa hakuna tips basi eneo hilo lina tatizo kubwa sana la kiuendeshaji,mmiliki ndio anawajibika zaidi kuwapa motisha wafanyakazi wake kuliko wateja kutoa tips,Kuna wanawake tunaafford kula na kunywa kwa pesa zetu, na wala hatuna uchoyo ukipata huduma nzuri unamtip mhudumu kuappreciate au kumtia moyo aendelee kutoa huduma namna hiyo.
Je nikienda sehemu sijulikani, ni haki kubaguliwa sababu mhudumu hajui nitampa tip au sitampa? Hiki kitu mnakiangalia kwa wepesi sana.
Wanawake hatupati shida tukienda sehemu na wanaume zetu, kimbembe uende mwenyewe au na mashost. Watoa huduma mbadilike si kila mtu mdangaji. Najaribu tu kuvaa viatu vya wanawake wenzangu.
Issue sio kubaguliwa issue ni kujiuza, fishmarket sio soko la makahaba. Muwe mnaheshimu sehemu za wengine. Pesa yako halafu unabaguliwa,umekaa tu!?. Au wenye rangi nyeusi ni wanawake nchi hii!?Hii ina justify kubaguliwa sababu picha/video zake akiwa amevaa bikini ziko mtandaoni?
Baa kibao tu unafukuzwa na mabaunsa hata kabla ya mmiliki/meneja kwa uvaaji wako tu mbovu wanaweza pata hisia wewe ni kibaka. Hilo nimeshudia kwa macho mara kibaoMbona unatapika Kinyesi mkuu?? Nimezungumzia Bambalaga bar & grill. Kama kuna specific event na wameweka dress code sitoshangaa endapo nitazuiliwa kuingia ikiwa sijafuata vigezo na masharti yao, nazungumzia scenario ambayo hakuna Specific event wala dress code. Wakati mwingine jifunze kusoma na kuelewa kabla ya kujibu.
Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma
Wakuu Weki Iendelee. Kumekuwa na Malalamiko Mengi sana Dhidi ya Wamiliki Wa Bar Ya Bambalaga iliyoko Dodoma Kwamba Wanawabagua bahadhi Ya Wateja. Either Kwa Kuangalia miili Au Personality ya Mtu Husika Wanakuzuia Kuingia ndani Na Mabaunsa Wa Hyo Bar. Kuna Siku Nilishuhudia Jamaa amekuja na...www.jamiiforums.com
Ni wajinga kwakweli....na utakuta hawana hela kama Evelyn hapa, glass moja ya juice masaa matatu ni kunywa kulamba yani....hebu waishie huko
Kiwanja cha wajanja kwa sasa ni Dar es salaam Johari Rotana,(a 5 star hotel)Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.