Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ni kazi inayoonekana dhalili mbele ya jamii.. Lakini ni kazi inayoendesha maisha ya mhusika kwa kujitosheleza karibia kia kitu kuanzia

Mavazi, Malazi, Kusomesha, Kuhudumia wazazi na ndugu Kufungua biashara, Kujenga, Kununua vitu vya thamani, Kuhonga
Kujihudumia nknk, Wahudumu wengi wa bar wametokea, Vijijini na kwenda sehemu za mijini kusaka maisha hasa majiji makubwa
Wengi kiasili wamekatishwa masomo kwa kukosa karo ama kupewa ujauzito.

Wengine wameachika ama kukimbia manyanyaso ya ndoa, Wengine ni yatima, Wengine ni watoto wa kambo Na wengine wametokea kwenye uhudumu wa nyumbani (beki 3). Kimsingi mhudumu wa bar haishi kwa mshahara bali maslahi na ndio maana wengi baada ya kuwa wazoefu huchagua bar kubwa kubwa ama zenye wateja wengi.

Wengi wao huwa na chuki iliyofichama juu ya wanaume ama wanawake walio kwenye ndoa. . Na wengi wao huwa hawana mapenzi ya kweli kulingana na past history kwenye mapenzi na mahusiano. Wengi huishi kwa target za siku za wiki na mwezi.. Anahakikisha kwa siku husika anatimiza lengo kwa namna yoyote ile. Je wanapate pesa?

1. Kuchomekea bili (sometimes hili hufanywa kwa ushirikiano na kaunta)

2. Kuongeza bei ya vinywaji(sometimes hili hufanywa kwa ushirikiano na matron au manager).

3. Offer.. Hapa ndio wanapapenda mno...na hupendelea kuhudumia meza za wanaume tupu na wenye macho juu juu.. Wengi ukimpa offer atahakikisha anachukua kinywaji cha bei juu na ukimuuliza mbona hanywi anakwambia atakunywa baadae maana muda huo hawaruhusiwi.

4. Kinywaji ulichonunua wewe mnaweza kukinunua meza tatu tofauti bila kujua na wengine huzuga kunywa kumbe ndani maji.. Kinywaji husika anaweza kukata pesa yake kwenye bili ama akakiuza kwa mteja mwingine

Wahudumu wengi huwa hawana bajeti ya chakula jioni na usiku.. Kama sio offer basi atachonga na mtu wa jikoni na kupunguziwa chakula cha wateja hasa zile bar zenye nyama choma na kitimoto.. Akikosa kabisa hukopa na kulipa wakati wa kufunga

Wahudumu wengi hawapendi ngono bali hufanya hivyo kwa nia ya kuingiza kipato ama kutimiza hesabu.. Na mwanaume mbele ya barmaid ni sawa na umbwa tuu... Wengi hupendelea kupumzika siku ya Jumatatu au Jumanne.. Hizi ni siku zisizo na hela na hata kugawa uroda huwa ni siku hizo kwa sehemu kubwa

Kuanzia Jumanne mpaka Alhamisi wanahakikisha wanatengeneza kati ya elfu 20 mpaka 50 kulingana na bar.. Na kuanzia Ijumaa wanahakikisha wanaingiza 50 mpaka laki+ pia kulingana na bar Mshahara wa barmaid kwa sehemu kubwa hauzidi laki moja.. Lakini kwenye mishe zake hiyo ni pesa ya siku mbili mpaka 6 kulingana na bar

Wahudumu wengi hawaipendi siku ya Jumapili maana ni siku ya vikao na wababa wengi hutoka na wake zao ama familia. Siku bora kwao ni Alhamisi, Ijumaa na Jumamosi. Wateja wanaowapendelea sana ni wale wa saa 12 jioni mpaka saa tatu usiku hawa kwa sehemu kubwa ni wafanyakazi na wana pesa.

Wahudumu wa bar nao huwa na hisia za upendo wa kweli hivyo hata awe malaya vipi Lakini ana mtu wake mmoja anayempenda na kumheshimu sana.. Wengi ni vimada wa wenye ndoa zao na wamepangishiwa vyumba na kuhudumiwa kila kitu.. !

Madhila yao
Pamoja kuwa na njia lukuki haramu na halali za kuwaingizia kipato kikubwa lakini pia wanakutana na changamoto nyingi baadhi zikiwa
  • Kupewa mimba na kukimbiwa
  • Kuambukizwa magonjwa ya zinaa
  • Kuambikizwa ukimwi
  • Kubakwa
  • Kudhalilishwa kingono
  • Kuachiwa nuksi
  • Kupigwa
  • Kuibiwa
-Kufumaniwa
- Kurogwa nknk

Wengi waliopitia haya hujikuta wanakuwa sugu na mabanditu ya kutupwa, Anaweza akala na kunywa vyako kisha akakumbia
Anaweza kukuchomesha mahindi, Anaweza kukuibia usiku, Anaweza kukuitia wahuni, Unaweza kukuroga
Anaweza kwa makusudi kabisa kukuambukiza magonjwa mabaya nk

Hayo ni machache kati ya mengi kwenye ulimwengu wa wahudumu wa bar. Nyege zako ni mtaji kwao. Cheza kwa step! Makinika unapoenda bar. Kuna wengi kati yetu pombe hukumbilia chini na wengi wameharibu kazi, kipato, future, biashara kwa sababu ya wahudumu wa bar!
 
Pamoja na vipato vyao vyote maisha yao hayana furaha Kwa sababu ya kudharauliwa na jamii . Barmaid haheshimiki popote pale kuanzia kazini kwake hadi mtaani kwake anakoishi.

Haaminiwi na mtu yeyote anaye mtambua kazi yake. Hakuna mtu anayeweza kumuwekea uaminifu barmaid popote pale
 
Namna gani unapigwa kwenye bili ama chakula

Wahudumu wengi hawapendelei wateja wa cash.. Hiyo ni nipe nikupe.. Wengi hupendelea wateja wa bili wale wa kulipa mwishoni
Namna ya upigaji.. Hapa kuna njia 3 na mhudumu huchagua mojawapo kati ya hizo

1. Kuongeza mia mpaka buku kwa baadhi ya vinywaji hasa ambavyo sio common

2. Kuchomekea idadi zaidi ya vinywaji mlivyokunywa

3.. Kuweka idadi sawa ya vinywaji lakini akakupiga kwenye total

Kwenye vyakula hasa nyama nyama hizi supu na michemsho

1.. Kuuziwa bei juu kuliko kawaida

2. Kupunguza idadi ya vipande vya nyama
Kitimoto unapewa nusu na robo

Kongolo unawekewa kwato moja[emoji23]kwani huyo moo ni mlemavu au ni zimwi?

3. Kwenye mbuzi kuku nk vinapunguzwa vipande vya nyama

4. Kwenye mkia wa moo unapewa pingili 13 wakati moo mkia wake una pingili 16[emoji23]

Akipiga kwa wateja watatu wanne keshapata sahani yake!

Kwingine tunapigwa kwenye ndaza, na nyama za wizi
 
Ukimuelewa bar maid muite muite umwambie na muulize anafunga kazi muda gani!! Ukitaka kuondoka nae mapema kuna pesa wana mtip manager ili amruhusu mapema kabla ya saa 8 au 9.

Ukimnunulia hizo heinekein na windhoek jua kuwa hazinywi bali huwa wanachupa zao huwa wanaweka hata maji tu ya kuzugia. Zile beer anaenda kuzivunja counter anapewa chake na mwisho wa siku anakukimbia.
 
Ukimuelewa bar maid muite muite umwambie na muulize anafunga kazi muda gani!! Ukitaka kuondoka nae mapema kuna pesa wana mtip manager ili amruhusu mapema kabla ya saa 8 au 9.

Ukimnunulia hizo heinekein na windhoek jua kuwa hazinywi bali huwa wanachupa zao huwa wanaweka hata maji tu ya kuzugia. Zile beer anaenda kuzivunja counter anapewa chake na mwisho wa siku anakukimbia.
Yan mpaka saa 8 au 9 usiku unangoja dem tena malaya!!?
 
Ukimuelewa bar maid muite muite umwambie na muulize anafunga kazi muda gani!! Ukitaka kuondoka nae mapema kuna pesa wana mtip manager ili amruhusu mapema kabla ya saa 8 au 9...
Wanaofahamu saikoloji ya mabarmaid hawaendi bar mapema wanaenda mida mibovu na kupenda kuhudumiwa na waliokwisha leweshwa kisha wakaachwa na wenye ndoa zao[emoji23]jamaa hujibebea tu kiulaiiniii.

Ukitaka tongoza kaunta anaingia kazini siku nne anapumzika siku 3, siku anayotoka kazini hakikisha unakuwa naye, huwa wana mavumba ya kutosha sana[emoji23]
 
Wanaofahamu saikoloji ya mabarmaid hawaendi bar mapema wanaenda mida mibovu na kupenda kuhudumiwa na waliokwisha leweshwa kisha wakaachwa na wenye ndoa zao[emoji23]jamaa hujibebea tu kiulaiiniii
Ukitaka tongoza kaunta anaingia kazini siku nne anapumzika siku 3, siku anayotoka kazini hakikisha unakuwa naye, huwa wana mavumba ya kutosha sana[emoji23]
Hiyo kweli tunaita mida ya mishale ...wazee wa saa 7, saa 8
 
Kama umeuelewa mzigo kwann usiungojee?
Kama huyu?
Screenshot_20220303-023624.jpg
 
Back
Top Bottom