Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Kuna siku nilipita bar moja kupata dinner, nikawa nimekaa pembezoni mwa bar,, cha kushangaza meza niliyokuwa nimekaa imejaa bia na mhudumu anaendelea kuleta bia ilhali meza ile hakuna mnywa bia. Nikatamani kumuuliza mhudumu ila nikasita.

Baada ya kuomba anihudumie kinywaji nikamuomba aniletee maji, hapo nikawa nimefungua uwanja wa kupata jibu la nilichokuwa najiuliza. “Kumbe nawe hutumii pombe kama mimi, unaona hizi pombe hapa mezani napewa offer na wateja mie nazipack hapa, hao hao wanaoninunulia wakiagiza tena mie siendi counter nazunguka narudi kuchukua hizi pesa naweka mfukoni. (Msichokijua pia wanaangalia unakunywa bia gani, ukimpatia offer nae anaangukia humohumo ili kadri unavyoendelea kuagiza awe anakuuzia zile ulizompatia offer).
 
Ni kazi inayoonekana dhalili mbele ya jamii.. Lakini ni kazi inayoendesha maisha ya mhusika kwa kujitosheleza karibia kia kitu kuanzia
Mavazi
Malazi
Kusomesha
Kuhudumia wazazi na ndugu
Kufungua biashara
Kujenga
Kununua vitu vya thamani
Kuhonga
Kujihudumia nknk

Wahudumu wengi wa bar wametokea
Vijijini na kwenda sehemu za mijini kusaka maisha hasa majiji makubwa
Wengi kiasili wamekatishwa masomo kwa kukosa karo ama kupewa ujauzito
Wengine wameachika ama kukimbia manyanyaso ya ndoa
Wengine ni yatima
Wengine ni watoto wa kambo
Na wengine wametokea kwenye uhudumu wa nyumbani (beki 3)

Kimsingi mhudumu wa bar haishi kwa mshahara bali maslahi na ndio maana wengi baada ya kuwa wazoefu huchagua bar kubwa kubwa ama zenye wateja wengi.. Wengi wao huwa na chuki iliyofichama juu ya wanaume ama wanawake walio kwenye ndoa. . Na wengi wao huwa hawana mapenzi ya kweli kulingana na past history kwenye mapenzi na mahusiano

Wengi huishi kwa target za siku za wiki na mwezi.. Anahakikisha kwa siku husika anatimiza lengo kwa namna yoyote ile. Je wanapate pesa?
1. Kuchomekea bili (sometimes hili hufanywa kwa ushirikiano na kaunta)
2. Kuongeza bei ya vinywaji(sometimes hili hufanywa kwa ushirikiano na matron au manager)
3. Offer.. Hapa ndio wanapapenda mno...na hupendelea kuhudumia meza za wanaume tupu na wenye macho juu juu.. Wengi ukimpa offer atahakikisha anachukua kinywaji cha bei juu na ukimuuliza mbona hanywi anakwambia atakunywa baadae maana muda huo hawaruhusiwi
4. Kinywaji ulichonunua wewe mnaweza kukinunua meza tatu tofauti bila kujua na wengine huzuga kunywa kumbe ndani maji.. Kinywaji husika anaweza kukata pesa yake kwenye bili ama akakiuza kwa mteja mwingine

Wahudumu wengi huwa hawana bajeti ya chakula jioni na usiku.. Kama sio offer basi atachonga na mtu wa jikoni na kupunguziwa chakula cha wateja hasa zile bar zenye nyama choma na kitimoto.. Akikosa kabisa hukopa na kulipa wakati wa kufunga

Wahudumu wengi hawapendi ngono bali hufanya hivyo kwa nia ya kuingiza kipato ama kutimiza hesabu.. Na mwanaume mbele ya barmaid ni sawa na umbwa tuu... Wengi hupendelea kupumzika siku ya Jumatatu au Jumanne.. Hizi ni siku zisizo na hela na hata kugawa uroda huwa ni siku hizo kwa sehemu kubwa

Kuanzia Jumanne mpaka Alhamisi wanahakikisha wanatengeneza kati ya elfu 20 mpaka 50 kulingana na bar.. Na kuanzia Ijumaa wanahakikisha wanaingiza 50 mpaka laki+ pia kulingana na bar Mshahara wa barmaid kwa sehemu kubwa hauzidi laki moja.. Lakini kwenye mishe zake hiyo ni pesa ya siku mbili mpaka 6 kulingana na bar

Wahudumu wengi hawaipendi siku ya Jumapili maana ni siku ya vikao na wababa wengi hutoka na wake zao ama familia.. Siku bora kwao ni Alhamisi , Ijumaa na Jumamosi... Wateja wanaowapendelea sana ni wale wa saa 12 jioni mpaka saa tatu usiku ..hawa kwa sehemu kubwa ni wafanyakazi na wana pesa
Wahudumu wa bar nao huwa na hisia za upendo wa kweli hivyo hata awe malaya vipi Lakini ana mtu wake mmoja anayempenda na kumheshimu sana.. Wengi ni vimada wa wenye ndoa zao na wamepangishiwa vyumba na kuhudumiwa kila kitu.. !

Madhila yao
Pamoja kuwa na njia lukuki haramu na halali za kuwaingizia kipato kikubwa lakini pia wanakutana na changamoto nyingi baadhi zikiwa
Kupewa mimba na kukimbiwa
Kuambukizwa magonjwa ya zinaa
Kuambikizwa ukimwi
Kubakwa
Kudhalilishwa kingono
Kuachiwa nuksi
Kupigwa
Kuibiwa
Kufumaniwa
Kurogwa nknk

Wengi waliopitia haya hujikuta wanakuwa sugu na mabanditu ya kutupwa
Anaweza akala na kunywa vyako kisha akakumbia
Anaweza kukuchomesha mahindi
Anaweza kukuibia usiku
Anaweza kukuitia wahuni
Unaweza kukuroga
Anaweza kwa makusudi kabisa kukuambukiza magonjwa mabaya nk

Hayo ni machache kati ya mengi kwenye ulimwengu wa wahudumu wa bar.. Nyege zako ni mtaji kwao.. Cheza kwa step! Makinika unapoenda bar... Kuna wengi kati yetu pombe hukumbilia chini na wengi wameharibu kazi, kipato, future, biashara kwa sababu ya wahudumu wa bar.. !
That's why napendelea kaunta na sina story na mtu
 
Wanaofahamu saikoloji ya mabarmaid hawaendi bar mapema wanaenda mida mibovu na kupenda kuhudumiwa na waliokwisha leweshwa kisha wakaachwa na wenye ndoa zao[emoji23]jamaa hujibebea tu kiulaiiniii
Ukitaka tongoza kaunta anaingia kazini siku nne anapumzika siku 3, siku anayotoka kazini hakikisha unakuwa naye, huwa wana mavumba ya kutosha sana[emoji23]
Nq akikupenda kaunta wa bar ni sawa umependwa na mwekahazina wa vikoba au kijumbe wa upatu
 
Ni kazi inayoonekana dhalili mbele ya jamii.. Lakini ni kazi inayoendesha maisha ya mhusika kwa kujitosheleza karibia kia kitu kuanzia
Mavazi
Malazi
Kusomesha
Kuhudumia wazazi na ndugu
Kufungua biashara
Kujenga
Kununua vitu vya thamani
Kuhonga
Kujihudumia nknk

Wahudumu wengi wa bar wametokea
Vijijini na kwenda sehemu za mijini kusaka maisha hasa majiji makubwa
Wengi kiasili wamekatishwa masomo kwa kukosa karo ama kupewa ujauzito
Wengine wameachika ama kukimbia manyanyaso ya ndoa
Wengine ni yatima
Wengine ni watoto wa kambo
Na wengine wametokea kwenye uhudumu wa nyumbani (beki 3)

Kimsingi mhudumu wa bar haishi kwa mshahara bali maslahi na ndio maana wengi baada ya kuwa wazoefu huchagua bar kubwa kubwa ama zenye wateja wengi.. Wengi wao huwa na chuki iliyofichama juu ya wanaume ama wanawake walio kwenye ndoa. . Na wengi wao huwa hawana mapenzi ya kweli kulingana na past history kwenye mapenzi na mahusiano

Wengi huishi kwa target za siku za wiki na mwezi.. Anahakikisha kwa siku husika anatimiza lengo kwa namna yoyote ile. Je wanapate pesa?
1. Kuchomekea bili (sometimes hili hufanywa kwa ushirikiano na kaunta)
2. Kuongeza bei ya vinywaji(sometimes hili hufanywa kwa ushirikiano na matron au manager)
3. Offer.. Hapa ndio wanapapenda mno...na hupendelea kuhudumia meza za wanaume tupu na wenye macho juu juu.. Wengi ukimpa offer atahakikisha anachukua kinywaji cha bei juu na ukimuuliza mbona hanywi anakwambia atakunywa baadae maana muda huo hawaruhusiwi
4. Kinywaji ulichonunua wewe mnaweza kukinunua meza tatu tofauti bila kujua na wengine huzuga kunywa kumbe ndani maji.. Kinywaji husika anaweza kukata pesa yake kwenye bili ama akakiuza kwa mteja mwingine

Wahudumu wengi huwa hawana bajeti ya chakula jioni na usiku.. Kama sio offer basi atachonga na mtu wa jikoni na kupunguziwa chakula cha wateja hasa zile bar zenye nyama choma na kitimoto.. Akikosa kabisa hukopa na kulipa wakati wa kufunga

Wahudumu wengi hawapendi ngono bali hufanya hivyo kwa nia ya kuingiza kipato ama kutimiza hesabu.. Na mwanaume mbele ya barmaid ni sawa na umbwa tuu... Wengi hupendelea kupumzika siku ya Jumatatu au Jumanne.. Hizi ni siku zisizo na hela na hata kugawa uroda huwa ni siku hizo kwa sehemu kubwa

Kuanzia Jumanne mpaka Alhamisi wanahakikisha wanatengeneza kati ya elfu 20 mpaka 50 kulingana na bar.. Na kuanzia Ijumaa wanahakikisha wanaingiza 50 mpaka laki+ pia kulingana na bar Mshahara wa barmaid kwa sehemu kubwa hauzidi laki moja.. Lakini kwenye mishe zake hiyo ni pesa ya siku mbili mpaka 6 kulingana na bar

Wahudumu wengi hawaipendi siku ya Jumapili maana ni siku ya vikao na wababa wengi hutoka na wake zao ama familia.. Siku bora kwao ni Alhamisi , Ijumaa na Jumamosi... Wateja wanaowapendelea sana ni wale wa saa 12 jioni mpaka saa tatu usiku ..hawa kwa sehemu kubwa ni wafanyakazi na wana pesa
Wahudumu wa bar nao huwa na hisia za upendo wa kweli hivyo hata awe malaya vipi Lakini ana mtu wake mmoja anayempenda na kumheshimu sana.. Wengi ni vimada wa wenye ndoa zao na wamepangishiwa vyumba na kuhudumiwa kila kitu.. !

Madhila yao
Pamoja kuwa na njia lukuki haramu na halali za kuwaingizia kipato kikubwa lakini pia wanakutana na changamoto nyingi baadhi zikiwa
Kupewa mimba na kukimbiwa
Kuambukizwa magonjwa ya zinaa
Kuambikizwa ukimwi
Kubakwa
Kudhalilishwa kingono
Kuachiwa nuksi
Kupigwa
Kuibiwa
Kufumaniwa
Kurogwa nknk

Wengi waliopitia haya hujikuta wanakuwa sugu na mabanditu ya kutupwa
Anaweza akala na kunywa vyako kisha akakumbia
Anaweza kukuchomesha mahindi
Anaweza kukuibia usiku
Anaweza kukuitia wahuni
Unaweza kukuroga
Anaweza kwa makusudi kabisa kukuambukiza magonjwa mabaya nk

Hayo ni machache kati ya mengi kwenye ulimwengu wa wahudumu wa bar.. Nyege zako ni mtaji kwao.. Cheza kwa step! Makinika unapoenda bar... Kuna wengi kati yetu pombe hukumbilia chini na wengi wameharibu kazi, kipato, future, biashara kwa sababu ya wahudumu wa bar.. !
Kiongozi nidadavulie hiyo 'kuachiwa nuksi'. Inakuaje hiyo? Inaweza kumpata kila mmoja hata km haupo bar au ni mwanaume? Umeizungumza hapo katika madhila
 
Masharti ya mganga... Mhusika huelekezwa mwanamke wa kulala naye ili atue zigo lake huko ama achukue nyota yake.. Sehemu rahisi ya kuwapata hao ni bar
 
Screenshot_20220303-064603.jpg
 
Exquisite 😍
 
Mmoja alikuwa anaishi Mbagala kazi Kinondoni ilipokuww Masai bar.. Kwao alisema anafanya kazi bank na huwa wanaingia special task ya kupanga pesa usiku.. Na mapigo yake yalikuwa kama wadada wa bank[emoji23]
Kuna mmoja alipanga Kwa Sista Chamazi akadai ni muuguzi muhimbili sasa mi nilikuwa nikienda Muhimbili mara kibao lakini hata mara moja sikuwahi kukutana nae kila ukimpigia simu kaenda lunch sasa bahati mbaya siku moja si nika muona sehemu kwenye ka pub anahudumia!!!
 
Back
Top Bottom