Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mkuu kama kazi inaambulika na mwajiriwa anachangia kodi ya Taifa na pia anachangia mifuko ya jamii unawezaje kuiita kazi ya aibu?Usiseme kwamba jamii yetu haistarabika si kweli Bali utamaduni wetu hauruhusu watu kufanya kazi za Aibu zinazokuvua utu wako hatakama unapata kipato cha namna gani.
Hao wazungu huko ulaya unakosema mkuu si kwamba wamestaarabika hapana bali wamekubali kuwa jamii isiyo na mwiko kwenye kufanya vitu vya aibu ndio maana kwao ushoga na kukaa uchi na kuzurula mitaani nusu uchi kwao ni kawaida.
Tusihalalishe ujinga wao kuwa eti ndio ustarabu mkuu