Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Namna gani unapigwa kwenye bili ama chakula
Wahudumu wengi hawapendelei wateja wa cash.. Hiyo ni nipe nikupe.. Wengi hupendelea wateja wa bili wale wa kulipa mwishoni
Namna ya upigaji.. Hapa kuna njia 3 na mhudumu huchagua mojawapo kati ya hizo
1. Kuongeza mia mpaka buku kwa baadhi ya vinywaji hasa ambavyo sio common
2. Kuchomekea idadi zaidi ya vinywaji mlivyokunywa
3.. Kuweka idadi sawa ya vinywaji lakini akakupiga kwenye total

Kwenye vyakula hasa nyama nyama hizi supu na michemsho
1.. Kuuziwa bei juu kuliko kawaida
2. Kupunguza idadi ya vipande vya nyama
Kitimoto unapewa nusu na robo
Kongolo unawekewa kwato moja[emoji23]kwani huyo moo ni mlemavu au ni zimwi?
3. Kwenye mbuzi kuku nk vinapunguzwa vipande vya nyama
4. Kwenye mkia wa moo unapewa pingili 13 wakati moo mkia wake una pingili 16[emoji23]
Akipiga kwa wateja watatu wanne keshapata sahani yake!
Kwingine tunapigwa kwenye ndaza, na nyama za wizi
Unaeweza kumchomekea Vinyaji ni yule anaelewa chakari na ndo mpaka umpate wengi wanalewa lakini hela na vinywaji alivyokunywa hasahau may b ajifanye kasahau kumpa bar med tip but kiukweli hali ni tata labda bar med apate danga yani..
 
Kuna mmoja alipanga Kwa Sista Chamazi akadai ni muuguzi muhimbili sasa mi nilikuwa nikienda Muhimbili mara kibao lakini hata mara moja sikuwahi kukutana nae kila ukimpigia simu kaenda lunch sasa bahati mbaya siku moja si nika muona sehemu kwenye ka pub anahudumia!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pamoja na vipato vyao vyote maisha yao hayana furaha Kwa sababu ya kudharauliwa na jamii . Barmaid haheshimiki popote pale kuanzia kazini kwake hadi mtaani kwake anakoishi.

Haaminiwi na mtu yeyote anaye mtambua kazi yake. Hakuna mtu anayeweza kumuwekea uaminifu barmaid popote pale
Jamii yetu tu haijastaarabika au ni kwasababu watu wa kima cha chini wengi hudharaulika . Ulaya kazi ya bar tender jioni hufanywa na wanafunzi wa elimu ya juu. Wengi wao ndiyo wanakua bank managers na wataalamu wa uchumi baadae.
 
Mmoja alikuwa anaishi Mbagala kazi Kinondoni ilipokuww Masai bar.. Kwao alisema anafanya kazi bank na huwa wanaingia special task ya kupanga pesa usiku.. Na mapigo yake yalikuwa kama wadada wa bank[emoji23]
sio ilipokuwa Masai, sema ilipo masai kwa sababu imefufuka na kwa ukanda huu wa kinondoni, mwananyamala, magomeni manzese ubungo, kijitonyama makumbusho nk hakuna kiwanja kama masai.
 
•Jamii yetu tu haijastaarabuka au ni kwasababu watu wa kima cha chini wengi hudgaraulika. Ulaya kazi ya bar tender jioni hufanywa na wanafunzi wa elimu ya juu. Wengi wao ndiyo wanakua bank managers na wataalamu wa uchumi baadae.
Tatizo linalopelekea hilo ni kudharau Proffessionalism. Mamtoni hakuna cha kima cha chini wala juu. Kazi ni kazi na you get paid accordingly haswa kwa masaa unayospend kazini.

Wanaheshimu sana professionalism na serikali imesimamia kazi mishahara haipishani sana. Kuna nchi range ya mshahara unalipwa dollar 15-20 kwa lisaa na ni watu wote awe banker awe bar tender hamna kumlipa mtu dollar 5 au dollar 2 ni mwiko. Kwa minajili hio hapo dharau zitatoka wapi?

Ila bongo kuna mtu analipwa laki 3 kwa masaa 8 na anaenda kunywa kwa mtu anaelipwa si zaidi ya elfu 3 kwa masaa 16. Sina wa kumlaumu zaidi ya serikali. Walitakiwa wasimamie professionalism tuondokane na mambo ya kishamba ndio matokeo yake kila nafasi za kazi zikitoka TRA kila mtu anagombania kwenda kule sababu paycheck ni kubwa.

Tanzania watu hudharau sana professions za watu na ni cadre chache mno ambazo wameweza walau kuheshimu professionalism na ndio maeneo kama Bank, Airport, Logistics Companies mf. Alistair, GSM, Telecommunication Operators akina Voda,Tigo.

Hilo ndio limepelekea zile kazi kuonekana zina hadhi flani japo mishahara inaweza ikawa ya wastani ila si sawa na Maids wa ma Bar ama Migahawa ambao wanalipwa chini sana tofauti na ambacho wanazalisha na wanatumika muda mrefu mno.

Niliwahi kusikia Samaki Samaki analipa vizuri zaidi wafanyakazi wake pale. It makes sense maana wanaingiza hela nyingi pia na amethamini muda wao na efforts. Huu ndio mfano wa heshima katika professionalism.
 
Jamii yetu tu haijastaarabika au ni kwasababu watu wa kima cha chini wengi hudharaulika . Ulaya kazi ya bar tender jioni hufanywa na wanafunzi wa elimu ya juu. Wengi wao ndiyo wanakua bank managers na wataalamu wa uchumi baadae.
Usiseme kwamba jamii yetu haistarabika si kweli Bali utamaduni wetu hauruhusu watu kufanya kazi za Aibu zinazokuvua utu wako hatakama unapata kipato cha namna gani.

Hao wazungu huko ulaya unakosema mkuu si kwamba wamestaarabika hapana bali wamekubali kuwa jamii isiyo na mwiko kwenye kufanya vitu vya aibu ndio maana kwao ushoga na kukaa uchi na kuzurula mitaani nusu uchi kwao ni kawaida.

Tusihalalishe ujinga wao kuwa eti ndio ustarabu mkuu
 
Unaeweza kumchomekea Vinyaji ni yule anaelewa chakari na ndo mpaka umpate wengi wanalewa lakini hela na vinywaji alivyokunywa hasahau may b ajifanye kasahau kumpa bar med tip but kiukweli hali ni tata labda bar med apate danga yani..
Mpaka uwe legend una usibabaike na makalio yao
Screenshot_20220303-024415.jpg
 
Back
Top Bottom