Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Mshana umesahau kupanga mda wa mabwana,wakwanza saa 6 mchana mpaka saa 9 alasili wa2 saa 9_12 jioni wamwisho saa12_3 usiku,hao niwapita njia lkn anawamiliki na hawajuani,ila Sasa funga kazi mwenye mzigo anakuja saa 3 nanusu au 4 nanusu hajabu ya huyu hata hela ya soda unakuta hana hata sahani ya viazi wanaweza kuchangia mala nyingine upewa na bia mlizonunua wanyuma.Hivyo mapenzi na bar med nimtihani mzito
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sahihi kabisa
 
Yap,, mkuu umejua kunipatia yaani mulemule napopita baharia huwa wananishangaa sana wana,, nenda saa 4-5 night, kishakula na kishalewa tayari chonga naye fresh nini jibebee, wengi wanalala palepale kwenye magheto na ukweli wasingependa kulala mule kwaiyo ni rahisi kumchukua kama unachukua chumba guest nzuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii Bar ipo pale tangu mwaka 1978... niliondoka Arusha 1989 niliiacha.
 
Mkuu pia makahaba wana maisha mazuri sana

Ova
 
Nq akikupenda kaunta wa bar ni sawa umependwa na mwekahazina wa vikoba au kijumbe wa upatu
mkuu wewe kama mimi nikimtaka mhudumu namwambia kaunta ananiunganishia kiulaini.
Uzuri wa makaunta ukimpa offer ya bia anafungua hapo hapo.
Hapa nilipo kuna tulikuwa tunacheki game la arsenal kuna zoba anamnunulia muhudumu bia kwa fujo muhudumu anamwambia anaenda kunywea kwa nje huko anakohudumia
 
Inategemea Kuna bar maid mmoja pale Manzese Tip top namfahamu kwa zaidi ya miaka 20 amejenga Kimara, amesomesha watoto wake watatu mpaka chuo na wengine wamesha pata ajira.. Ana bodaboda yake ambayo inapiga kazi, sasa ukisema huyo anadharauliwa yeye anakucheka tuu [emoji23][emoji23]
 
Wanaoichukulia ajira rasmi na wasioendekeza mapenzi wako njema sana
 
Kuna mdau kasema huko juu kuwa unaacha kaunta 10,000 au 20,000
 
Haaaaa Haaaaa 😂, yupi huyo? maana wale wadada sio mchezo,. Mwanaume alie kamili lazima ategeke tu pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…