Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Muhudumu wa kwanza alinipigia siku moja kabla ya siku ambayo nilipaswa kulipa na kuniambia nifanye malipo haraka kuna zawadi. Nikamjibu kistaarabu tu siku ikapita.
Muhudumu wa 2 alinipigia siku ambayo nilipaswa kulipa nikamwambia atulie kwakuwa wameweka interest kwa kila siku inapoongezeka , kama nitazidisha siku za malipo nitalipa na interest (riba) kama walivyoainisha kwenye mkateba na masharti ya mkopo. Huyu dada akaanza kunifokea, akasema kwani sisi tunataka riba yako, lipa haraka leo. Nikamwambia dada naomba unisikilize kwa makini.
Hiyo sh. Elfu 40 sitawalipa kwa hali na namna yoyote. Wewe ni mjeuri. Labda mtumie zaidi ya milioni 10 kuendesha kesi kuokoa hiyo elfu 40 ndio mtapata na msipojipanga naweza kuwashinda mkanilipa Mimi hiyo milioni 10.
Huu mwezi wa 7 sijawalipa na hawanipigii tena.
Wakopeshaji mjitahidi kuajiri vijana wenye akili timamu.