Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

TBH Customer services ya bongo ni ZERO, kuanzia pale airport, kwenye banks, kwenye migahawa na kote kwa watoa huduma. Sehemu kidogo niliwahi pewa customer care ya maana ni kwenye zile pubs za Samaki samaki. Kwingine kote hovyo hovyo tu,.
 
Kuna watu wanaitumia vibaya ile slogan ya Mteja ni mfalme.
Hii slogan ipuuzwe baadhi ya maeneo.

Mteja akija dukani kula manake ana shida ya chakula ana njaa mimi ninayeuza chakula sina shida ya chakula bali nna shida ya pesa.

Kwa maana hapa kila mtu ana shida na mwenzie.

Binadamu wakiwa wanataka kununua kitu basi wanajiona wajaaanja mpaka wakaanza vimisemo kama hivi ili wajipaishe tu kumbe hata yeye ana shida.

Kauli ya mteja ni mfalme itume tu pale ambapo mteja huyo hana shida na kitu anachonunua ispokuwa ananunua ili kumpa kula muuzaji.

Eti daladala ya mbagala uikute kariakoo alafu uringe kupanda mida ya usiku kwa kutaka konda akupe good customer care aiseeeeeeeeee😂😂
 
Najipongeza kwa kukufanya kwenye comment yako yenye matusi utumie kiswahili sehemu kubwa. Ninaposema uandike kiswahili sio kwamba sijui vizuri kiingereza.... mama yako ni shahidi mzuri wa hili.
Comment kiswahili chake ni nini?
 
Ila wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matokeo yake mnakwaruzana na wahudumu

NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
Huelewi maana ya kujali mteja na wala hufai kufanya kazi hiyo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wenu hamwendi kula chakula bali mnavizia kula mademu wahudumu
Sawa sawa. Kama kukaanga samaki na chips wanajua. Wanataka waoshe rungu chief. Teba wengi hapo dom wako mbali na familia
 
Ila wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matokeo yake mnakwaruzana na wahudumu

NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
Kwenye huduma hakuna gubu wala jibu la hapana, hata kama ulikuwa unahudumia inakuchukuwa muda gani kuweka sahani ya chakula Kwa mteja namba moja na kuja kumsikiliza mteja namba mbili, msikilize chukuwa order abaki asubiri huduma. Lakini kukaa akisubiri MTU wa kuja kumsikiliza Kwa muda wa DK tano au kumi kibiashara ni punctuation failure, ni Bora ukaja kufeli Kwenye standard na siyo kwenye first impression.
Watanzania wengi hili somo la kuwajali na kuhudumia wateja limewapita mbaliiiiiii mno.
Naungana na mtoa hoja ndo maana hoteli zote kubwa Wana Kadi zinazojazwa na wateja ili kuangalia wapi pa kuboresha. Ukefeli hapo utaanza kuzunguka Kwa waganga na hatobadilisha chochote.
 

Kw nini usingeenda Mwanga Restaurant kwa Msangi, makutano ya barabara ya 7/8 na Mwanza Road?
 
Oya unaijua biashara vizuri? Haswa hizo biashara za chakula.
 
Mshahara wenyewe elufu 50, unataka kauli nzuri hutaki chakula kizuri?
 
Dodoma ipo hivyo mkuu, nipo hapa ni 2yrs now yan unafika mgahawani unaitisha mara mbili au tatu nadhani ni kutojua biashara inatakaje tu.

Nb: Sio wote.
 
Atakuelewa tuu wajifunze customer care hata kwenye simu,!biashara nyingi hufungwa sababu kubwa ni wahudumu!kaomba kazi kwa heshima amepata sasa kajisahau.Wakikosa mshahara wanaanza kuandamana.
 
Watu hawakuwasikiliza wahenga hadi mwisho siku wanazindua huo msemo. Sisi tuliokuwepo hadi mwisho wa kikao ni kwamba wahenga kwa pamoja walitoa azimio la kwamba "MTEJA NI MFALME KABLA HAJALIPA, BAADA YA KULIPA MTEJA NI TAKO TU"
 
Bongo customer care ni mbovu
Mimi mteja ndio bosi wako ninayekupa kula
Nikihamia kwa mwingine na wengine wakasepa si unakosa wateja?
 
Akili yako ni ndogo sana sababu you think America ndio Kipimo cha kila jambo. All your stupid arguments and comments ni kwa muktadha wa America tuu...For your Info America siyo yote iliyostaarabika na Sio hata ushenzi ukifanywa America ionekane sawa. Do you understand little bway??
 

Nilishakua mpole tena jamani?

Nifafanulie nielewe....
Aisee wewe Acha kudanganya watu Kwa kusema eti akiondoka mteja mmoja anakuja mwingine, umewahi kujiuliza Kwa nini kwenye hotel nyingi dunia a repeating guest anakuwa treated kama VIP?
Ni Kwa sababu ya kanuni moja tu ya kibiashara kuwa alilidhika na huduma ndo maana akarudi na anauwezekano mkubwa wa kukuletea wateja wengine. Heshimu Sana MTU anaitwa mteja kwenye biashara.
Nasikitika kuona unaongea habari za biashara kirahisi Sana na bahati nzuri au mbaya umeitaja marekani, hakuna demanding guest kama American na Indian dunia nzima. Unless huko marekani wewe unafanya kazi kwenye home care ambako unasubiri wazee na matahira wajiharishie ukawasafishe, hapo kweli Una haki ya kusema akiondoka mmoja anakuja mwingine. Make watu wanazeeka kila wakati
 
Idiot! Shida yako kubwa ni exposure. Zaidi ya America kwingine wapi umeishi you Broke Ass Nigga!?
 
Huyo jamaa ni Boonge la Mshamba yani alafu ana stress za hatari yaani. You can see from his writting.
 
Hapo shida hakuna meneja mzuri.

Huduma nzuri kwa mteja kwenye hotel/baa unaiona mwenye mali/meneja akiwepo.
Unless mwenye mali/meneja anatembea na mhudumu husika hapo hakuna solution kwenye good customer service.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…