Euroleague
JF-Expert Member
- Apr 11, 2020
- 515
- 1,410
Mleta mada hujawahi kwenda mahoteli makubwa wewe. Ukifika migahawa mikubwa lazma upumzike hata dk 3 au 4 ndio usikilizwe. Unaharaka endapo unabeba msosi ukalie nyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kiboko...unaacha hata kama umekipendaKunq mteja pasua kichwa/kuna mhudumu pasua kichwa.
Ila mimi niende mahala nakaa dk5 hamna wa kunihudumia mpaka nianze oyaaa!! nawabembeleza nini [emoji2][emoji2] nasepa kimya kimya
-Au niende dukani mtu sio mchangamfu hata kama kitu nimekipendaje naacha.
Haiwezekani pesa yangu halafu initese
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikufate wewe una shimo la kunipa?
Niache kuwafata akina Sky Eclat au binti kiziwi au cariha au witnessj au Saint Anne wenye nyuchi zao za maana nika-deal na uchafu kama wewe
Nigga y'are stupendously stupid
Nakerwa sana na watu mnaochanganya lugha. Uzi wa kiswahili kwann ucomment kiingereza?Si kweli
Sometimes customers need to act decently and with respect to other human beings
Hii tabia ya customer kudhani he can just go totally ape on other human beings sababu tu eti ni customer
Those are customers I usually shoot down and return their stupid money and tell em not to ever cross my establishment
Fvck em!
Na ni funny,the most poorest customers are the most noisy and jerks,toss em up...
Fukc you too sweet WyattSi kweli

Ukiwa na biashara ya mgahawa weka wanaume. Mara nyingi kwenye kuserve. Wanawake waweke mapokezi na vinywaji wachache ambao wako fasta, smart na charming.
Jana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma.
Wakati nafika nikamkuta jamaa analumbana na mhudumu kisa amemuita aje kumhudumia akamjibu nakuja lakini hakuja ontime, kwa maana alikuja amechelewa na akamjibu majibu ambayo sio mazuri
The same kwangu pia maana niliketi more than 5 minutes wala sioni mhudumu, akaja badae sana tena kwa mwendo anaoutaka yeye.
Wakuu kama unamiliki biashara hakikisha customer care nzuri ni endelevu.
Tuache tabia kwamba ukishapata loyal customers basi unarelax kwamba watakuja tuu.
Always remember to add value to your product and service.
Shishi ajifunze kwamba Customers always demand for more
Najipongeza kwa kukufanya kwenye comment yako yenye matusi utumie kiswahili sehemu kubwa. Ninaposema uandike kiswahili sio kwamba sijui vizuri kiingereza.... mama yako ni shahidi mzuri wa hili.Ni maajabu sana unapotaka kupakaza dunia nzima ifate your incompetence ya kutokujua Kingereza basi maiti wote duniani tuongee Kiswahili kukuridhisha wewe mfalme Juha?
Wewe kutokujua Kingereza ni shida yako binafsi,pita kwenye comments za Kiswahili
Stop complaining,kajifunze Kingereza huko,huwezi,then kalime huko na uongee Kiswahili na Waswahili wenzio,usitulazimishe
Fvck outta here!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] kudadadekkiNi maajabu sana unapotaka kupakaza dunia nzima ifate your incompetence ya kutokujua Kingereza basi maiti wote duniani tuongee Kiswahili kukuridhisha wewe mfalme Juha?
Wewe kutokujua Kingereza ni shida yako binafsi,pita kwenye comments za Kiswahili
Stop complaining,kajifunze Kingereza huko,huwezi,then kalime huko na uongee Kiswahili na Waswahili wenzio,usitulazimishe
Fvck outta here!
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]Fukc you too sweet Wyatt
Ninl juhudi zako binafsi za kuwa masikiniNikiwa nina hela au sina hela hivi wewe unanitakia nini?
Unaona wivu mtu akiwa na hela?
Too bad I cant help you
Ni juhudi zako wewe binafsi kua masikini,sijakusaidia kua masikini
Biashara zangu hazikuhusu,wewe sio partner au shareholder kwenye makampuni yangu,sasa sijui unayaulizia wewe kama nani?
Nenda kafanye kazi huko ujitoe kwenye umasikini uliomo!
Uchangamkiwe wewe Nenda Uchangamkiwe na mzazi wakobinafsi kuna baadhi ya maduka ukiingia, au hata migahawa, hawakuchangamkii, ni kama wameshiba hela. huwezi kuanza kuwagombeza kwasababu sio kazi yako, ni kazi ya mmiliki wa biashara hiyo, wewe nyanyuka nenda zako sehemu nyingine. kama hakuna namna unaona hakuna sehemu nyingine basi iwabembeleze wakuhudumie kwasababu una shida. ila kuanga kuwagombeza unakosa sababu, unawagombeze kwa sababu gani wakati haujawaajiri na huwalipi mshahara na hujui terms and conditions za employment walizonazo na boss wao? kazi hiyo mwachie boss wao au omba kuonana na boss wao ndio awagombeze, usiingilie kazi za wengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Its so strange,customers are so stupid they think they can just bully businesses just because they are customers!
Customers think they can just act like jerks eti because they happen to be called customers!
Give me a break!
Who do you think is willing to be jerked on by you Mr customer because you will pay some little money to buy my products?
Get the fvck outta here with your stupidity and vijisenti uchwara....go eat somewhere else!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]aseeWee ndio una matatizo
Matatizo yako ni makubwa sana kudhani wanadamu wote tuongee vitu unavyopenda wewe
Yaani wewe unadhani stress wanapata wale wanadamu wanao ongea vitu usivyovipenda wewe binafsi
Punguza ungese,kila mwanadamu awe huru kuongea anachotaka!
Wewe ni mgeni ndo maana Sisi tunaokula mara kwa mara hatuna shida na namba za wahudumu tunazo na mmoja wapo huwa ndo ametokea hapa kunifanyia usafi geto na kunitengea chai.Shukrani sana Shishi food kwa wahudumu hawa😋Jana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma.