Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

Customers ni very sensitive.Ukiwa na nyodo miezi sita ni mingi hutaona mteja hata mmoja.
 
We jamaa una stress Sana
 
Huwezi biashara ndg yangu
 
Nani anapashwa kuwa Mstaarabu Kati ya Owner na Customer??
 
Kunq mteja pasua kichwa/kuna mhudumu pasua kichwa.
Ila mimi niende mahala nakaa dk5 hamna wa kunihudumia mpaka nianze oyaaa!! nawabembeleza nini [emoji2][emoji2] nasepa kimya kimya
-Au niende dukani mtu sio mchangamfu hata kama kitu nimekipendaje naacha.
Haiwezekani pesa yangu halafu initese
 
Mkuu Hiki ndicho hufanya vijana wengi kufeli katika biashara, akipata loyal customers kadhaa anaona ameshamaliza kila kitu na kuvimba kichwa. Anasahau kuwa customers always demand for more
 
kwani mgahawa ni mmoja tu, wewe ukienda sehemu hawajakuhudumia vizuri wala usije hapa kulalamika, sepa nenda kwengine.
Hili ndio tatizo tulilonalo watanzania kukubali mambo ya hovyo kwa kisingizio eti nenda sehemu nyingine kwenye huduma nzuri ..wakati kiuhalisia almost 96% sehemu za biashara za kitanzania huduma ni mbovu mno, acha watu walalamike ili solution ipatikane

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Miongoni mwa makosa makubwa kwa entrepreneurs ni hili.
 
Customer kugeuka na kua abusive ni something else na ni kitu I cant allow

Of course hua ni wachache sana in number
Mkuu Nadhani Unajua kbsa kwamba Biashara sio swala la kumuhudia mteja na yeye kuondoka. Ni zaidi ya hapo.
 
Kuna wavamia biashara na wafanya biashara.
Hakika nimekuelewa, Wavamia biashara Wamekuwa wengi kuliko wafanyabiashara. Facts Ni kwamba Customers come for the experience, maana products can be found anywhere!
 
Shishi akifata ushauri huu biashara itamdodea Yani five minutes wahudumu hawakufati loh, mimi naondoka na sirudi tena hapo
Mkuu umewahi kwenda kupata huduma mgahawani kwake?

Tatizo watu wanaenda kwenye hii migahawa mikubwa wakitegemea maajabu eti kisa Tu ni mgahawa Fulani Una jina so huduma zake zitakuwa ni extraordinary

Ingia ndani,vuta kiti kaa,wahudumu watakuja kukuhudumia ktk utaratibu unaofaa,Kula kisha sepa
 
Kuwahudumia wabongo first inabidi uwe Fala , second unatakiwa ufanye investment kubwa kwenye customer care , Tanzania customers are like wild animal, hawaangalii stuation wanajiangalia wao tuu
Wewe sema tu wafanyabiashara wengi customer care zenu mbovu, mnafanya biashara kimazoea sana. Kuna sehemu unaingia unakuta mtoa huduma yuko busy ila kauli yake moja tu unaweza kujikuta unamsubiri hata nusu saa kama unao muda na wala hutolalamika. Wekezeni kwenye customer care kwanza, sio kila mwenye mtaji ni mfanya biashara.
 
Ila wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matikeo yake mnakwaruzana na wahudumu

NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
Mteja akiwa analazimisha kupewa huduma haina maana ajibiwe hovyo.

NB:MTEJA NI MFALUME. TENA MFALUME ANAYEKUPA PESA.
 
Na wewe mteja una uhakika ni malaika in your customership mpaka utukane biashara za watu namna hii?

Wateja wakorofi hua ni wale wale

Leo umemlalamikia Shilole,kesho Voda,keshokutwa DSTV,etc....mlalamishi ni wewe wewe,huoni kama una tatizo wewe mtu?
Jana Nimeenda ofisi moja Hapa Dodoma, nikahudumiwa vizuri mpaka nilitamani nikamnunulie lunch yule dada. I'll definitely go back there again and again.
 
Una akili za hovyo mteja hata mmoja ni wa muhimu ka una biashara utakuwa unatafta mchawi kumbe umejiroga mwenyewe
Halafu unakuta mtu anatafuta mchawi kumbe yeye ndio tatizo. Kuna sehemu unaingia unavyohudumiwa hata kama ulikwenda tu kufanya window shoping nafsi inakusuta utanunua tu kitu na ukiwa na pesa hukosi kurudi tena.
 
The power of customer care.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…