Sio kwa shishi tu bongo customer care zero na mimi sishangai mteja wauliza kitu wao hujifanya busy na kukuangalia kwa dharau loh. Mbona maeneo ya mahotel makubwa wahudumu huwa na huduma nzuri hadi tips wamupatia.Mkuu umewahi kwenda kupata huduma mgahawani kwake?
Tatizo watu wanaenda kwenye hii migahawa mikubwa wakitegemea maajabu eti kisa Tu ni mgahawa Fulani Una jina so huduma zake zitakuwa ni extraordinary
Ingia ndani,vuta kiti kaa,wahudumu watakuja kukuhudumia ktk utaratibu unaofaa,Kula kisha sepa
Progressive business tip..Sio kwa shishi tu bongo customer care zero na mimi sishangai mteja wauliza kitu wao hujifanya busy na kukuangalia kwa dharau loh. Mbona maeneo ya mahotel makubwa wahudumu huwa na huduma nzuri hadi tips wamupatia.
Usitetee watoa huduma wabovu
Mleta mada amelalamika amekaa dk 5 hasikilizwi sasa ukorofi wake hpo uko wapi?Na wewe mteja una uhakika ni malaika in your customership mpaka utukane biashara za watu namna hii?
Wateja wakorofi hua ni wale wale
Leo umemlalamikia Shilole,kesho Voda,keshokutwa DSTV,etc....mlalamishi ni wewe wewe,huoni kama una tatizo wewe mtu?
You are very right!Its so strange,customers are so stupid they think they can just bully businesses just because they are customers!
Customers think they can just act like jerks eti because they happen to be called customers!
Give me a break!
Who do you think is willing to be jerked on by you Mr customer because you will pay some little money to buy my products?
Get the fvck outta here with your stupidity and vijisenti uchwara....go eat somewhere else!
Treat all customers the same regardless of their names, tittles, amt of money they spend or how they look bc hili nalo ni tatizo kubwa sana Tanzania.Zaidi ya hapo kwenda wapi?
Kwenye personal life?
Hasa wenye shillingi mbili tatu wanahisi pesa ndio kila kitu na hao wakuitwa waheshimiwa ndio yallah.Ila wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matikeo yake mnakwaruzana na wahudumu
NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
Huyo biashara ikimshinda anaenda kuloga kumbe ni huduma yake kwa wateja mimi biashara yangu kwa kweli mteja lazima ni mjali pia ku ji adjust kulingangana na wateja tofauti wenye hulika kikubwa nipate hyo hela sio nijifanye jeuri I'm sure hata hao wahudumu wa shishi ni wamebweteka as long wanalipwa mshahara hawajui sacrifice shishi aliyojitoa kwa huduma kufika hapo. Imagine kuna sehemu hupokea wateja vizuri hadi waona aibu kutoka tupu na tips watoa.Halafu unakuta mtu anatafuta mchawi kumbe yeye ndio tatizo. Kuna sehemu unaingia unavyohudumiwa hata kama ulikwenda tu kufanya window shoping nafsi inakusuta utanunua tu kitu na ukiwa na pesa hukosi kurudi tena.
sasa wewe unahangaika na mgahawa usio wa kwako kwani huna kazi zingine za kufanya mzee? hiyo ni biashara ya mtu binafsi, ingekuwa ya umma tungeingilia (umma means sisi sote), lakini private business entity wewe mtu mwingine unaingilia haikuhusu, labda kama huna kazi za kufanay au ni mbeya mbeya unayetaka kuharibu biashara za watu wengine, kwasababu hata hilo walilosema hapa ni matter inayohitaji evidence, tutajuaje kama wewe unazusha tu au ni kitu cha kweli na hauonyeshi kama uliomba kuonana na meneja wao kama kweli ilikukera kiasi hicho. jua ni rahisi kwa mtu kuleta lawama kwa mtu mwingine hapa na kuhitaji watu wengine wamsapoti kumponda huyo mtu bila ushahidi, why should we trust you? huna kazi za kufanya?Hili ndio tatizo tulilonalo watanzania kukubali mambo ya hovyo kwa kisingizio eti nenda sehemu nyingine kwenye huduma nzuri ..wakati kiuhalisia almost 96% sehemu za biashara za kitanzania huduma ni mbovu mno, acha watu walalamike ili solution ipatikane
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Matokeo yake wanaishia kugombeza wahudumuHasa wenye shillingi mbili tatu wanahisi pesa ndio kila kitu na hao wakuitwa waheshimiwa ndio yallah.
Kisa mteja ni mfalmeKuna watu wanaitumia vibaya ile slogan ya Mteja ni mfalme.
KwakweliMatokeo yake wanaishia kugombeza wahudumu
Hii attitude haina msaada wowote kwa shilole sanasana itamuumiza na kumpotezea wateja ...just imagine kuna migahawa mingapi dodoma mpaka mtu anaamua kwenda kwake? Lazima aonyeshe kitu special kwa wateja kuonyesha kuwa wapo pale kwa ajili ya kupata huduma bora inayoendana na hela wanayotoa..sasa mtu anakaa kwenye kiti dk 5 hakuna anaemuongelesha still bado unasapoti huo ujinga tukuweke kwenye kundi gani?Mkuu umewahi kwenda kupata huduma mgahawani kwake?
Tatizo watu wanaenda kwenye hii migahawa mikubwa wakitegemea maajabu eti kisa Tu ni mgahawa Fulani Una jina so huduma zake zitakuwa ni extraordinary
Ingia ndani,vuta kiti kaa,wahudumu watakuja kukuhudumia ktk utaratibu unaofaa,Kula kisha sepa
Niweke kwenye kundi la ignore list mkuu(jocking)Hii attitude haina msaada wowote kwa shilole sanasana itamuumiza na kumpotezea wateja ...just imagine kuna migahawa mingapi dodoma mpaka mtu anaamua kwenda kwake? Lazima aonyeshe kitu special kwa wateja kuonyesha kuwa wapo pale kwa ajili ya kupata huduma bora inayoendana na hela wanayotoa..sasa mtu anakaa kwenye kiti dk 5 hakuna anaemuongelesha still bado unasapoti huo ujinga tukuweke kwenye kundi gani?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
why do you want us to trust your allegations? tutajuaje kama wewe ni mshindani wa shishi? allegations kama hizi za upande mmoja ambazo mtu anonymous anaanzisha tu thread ni hatari kuchafua image za biashara za watu. angekuwa anajulikana kwa jina halisi labda, ila kuja hapa na kurusha tu lawama na kutaka watu wakusapoti kumshambulia mtu, sio afya.Hii attitude haina msaada wowote kwa shilole sanasana itamuumiza na kumpotezea wateja ...just imagine kuna migahawa mingapi dodoma mpaka mtu anaamua kwenda kwake? Lazima aonyeshe kitu special kwa wateja kuonyesha kuwa wapo pale kwa ajili ya kupata huduma bora inayoendana na hela wanayotoa..sasa mtu anakaa kwenye kiti dk 5 hakuna anaemuongelesha still bado unasapoti huo ujinga tukuweke kwenye kundi gani?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Acha kutetea upumbavu, mhudumu anapaswa kuwa na mood nzuri wakati wote na haruhusu mood yake kuharibiwa kizembe na mteja mmoja asiejielewa...ikitokea situation yoyote ya kugombana na mteja mhudumu anaejielewa ataondoka haraka eneo la tukio na kwenda kuripoti kwa meneja meneja kuna protocal atazifuata zikishindikana atakuwa na haki ya kumuondoa mteja au kugoma kumhudumiaYou are very right!
Mood ya muhudumu unaetaka akuhudumie inaelezea aina ya wateja aliokutana nao kabla yako.
Wahudumu pia ni wanadamu na hisia zao zinahitaji kuheshimiwa and when that doesn't happen its natural to change their mood.
Wanasema mteja ni mfalme lakini mpumbavu hawezi kua mfalme.
Sio rahisi kama unavyosema. Mteja anatakiwa ahudumiwe kwa wakati na kwa lugha ya ukarimu.Huyo mteja ni kichaa
Piga chini,tafute mwingine
Kuna wateja handling yao ni more expensive than costs za kutafute mwingine,piga chini!
Kweli kabisa wateja maskini ndo Wana makeleleSi kweli
Sometimes customers need to act decently and with respect to other human beings
Hii tabia ya customer kudhani he can just go totally ape on other human beings sababu tu eti ni customer
Those are customers I usually shoot down and return their stupid money and tell em not to ever cross my establishment
Fvck em!
Na ni funny,the most poorest customers are the most noisy and jerks,toss em up...
Hiiiivyo yani.binafsi kuna baadhi ya maduka ukiingia, au hata migahawa, hawakuchangamkii, ni kama wameshiba hela. huwezi kuanza kuwagombeza kwasababu sio kazi yako, ni kazi ya mmiliki wa biashara hiyo, wewe nyanyuka nenda zako sehemu nyingine. kama hakuna namna unaona hakuna sehemu nyingine basi iwabembeleze wakuhudumie kwasababu una shida. ila kuanga kuwagombeza unakosa sababu, unawagombeze kwa sababu gani wakati haujawaajiri na huwalipi mshahara na hujui terms and conditions za employment walizonazo na boss wao? kazi hiyo mwachie boss wao au omba kuonana na boss wao ndio awagombeze, usiingilie kazi za wengine.
We upeo wako wa mambo ni mdogo sanasasa wewe unahangaika na mgahawa usio wa kwako kwani huna kazi zingine za kufanya mzee? hiyo ni biashara ya mtu binafsi, ingekuwa ya umma tungeingilia (umma means sisi sote), lakini private business entity wewe mtu mwingine unaingilia haikuhusu, labda kama huna kazi za kufanay au ni mbeya mbeya unayetaka kuharibu biashara za watu wengine, kwasababu hata hilo walilosema hapa ni matter inayohitaji evidence, tutajuaje kama wewe unazusha tu au ni kitu cha kweli na hauonyeshi kama uliomba kuonana na meneja wao kama kweli ilikukera kiasi hicho. jua ni rahisi kwa mtu kuleta lawama kwa mtu mwingine hapa na kuhitaji watu wengine wamsapoti kumponda huyo mtu bila ushahidi, why should we trust you? huna kazi za kufanya?