Wahudumu zaidi ya elfu mbili wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wapiga picha ya pamoja ya ukumbusho

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121

Wafanyakazi na wanaojitolea zaidi ya elfu mbili wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wamepiga picha ya pamoja ya ukumbusho tarehe 21 mwezi huu katika Uwanja wa Michezo wa Taifa mjini Beijing, China baada ya michezo hiyo kumalizika. Waliosimama kwenye barafu ni wahudumu waliofanya kazi katika eneo lililozingirwa na waliosimama kwenye stendi ya ghorofa ya pili ni waliofanya kazi nje ya eneo hilo. Wanafurahia kupiga picha wakifuata hatua za kukinga na virusi.
 
Yule mchina pale kushoto namjua!
 
China is such an intelligent nation! Wakati Mwamerika anahangaika kumguyuguza & kumziba kinywa Mrusi, Mchina yeye yuko busy na maendeleo!

#China4President!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…