Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
Hivi PAC anayeongelewa hapa ni huyu huyu Makaveli au tumngoje mwingine!Ngoja nikieleweshe. CAG huibua hoja, na kamati za PAC au LAAC hufanya ukaguzi na kisha kutoa ripoti yenye ukweli. Haiwesekani serikali inayochunguzwa alafu ijikague na kutoa majibu. Tumia akili we bwege
Hujui kitu we pimbi. Yaani aliyekaguliwa ndie aeleze hoja za CAG?Wewe ndiye utumie akili, serikali inayokaguliwa na ofisi ya CAG ndio inapaswa kujibu hoja za CAG. PAC na LAAC hazifanyi ukaguzi wowote.
Imagine unanitukana wakati ni mweupe kichwani!😁😁😁Ngoja nikieleweshe. CAG huibua hoja, na kamati za PAC au LAAC hufanya ukaguzi na kisha kutoa ripoti yenye ukweli. Haiwesekani serikali inayochunguzwa alafu ijikague na kutoa majibu. Tumia akili we bwege
Imagine unanitukana wakati ni mweupe kichwani!😁😁😁
Huna elimu.Imagine unanitukana wakati ni mweupe kichwani!😁😁😁
Muulize Polepole kwa nini aliingia darasani kuelezea 1.5T zilikuwa bado hazijaiva.Hujui kitu we pimbi. Yaani aliyekaguliwa ndie aeleze hoja za CAG?
Kwani wewe bujibuji ni cheti feki au mpigaji wa hela ya umma? Hao ndio wanaona uovu wa magufuli. Ila wananchi wa kawaida walifurahi walivyotendewa fisadi na macheti feki wote.Uovu wa matendo ya Magufuli ndicho kinachomchafua. Panda wema utavuna mema
Yatima bado unaomboleza msiba arobaini c ishapita move onHawataweza hao mabwanyenye uchwara. Tabaka la chini bado linamlilia Jpm.
😁😁😁Muulize Polepole kwa nini aliingia darasani kuelezea 1.5T zilikuwa bado hazijaiva.
Mifisadi na wanasesere wao ndio wanadansi mpigo wa kumchafua magufuli kutoka ubeberuni.Wizi wa trillion 1.5 na zaidi.
Manunuzi ya meli hewa ya Mv Dar es Salaam
Kuwafuga na kuwalea watu wasiojulikana
Kuwajaza watu was kabila lake kila sehemu
Inasemekana kuna zaidi ya bilioni 800 zimefichwa Canada awamu ya 5!
Nimeletewa hii taarifa hadi nimeshangaa!! Of course hili jambo nilikua nalijua lakini nilikua nalijua juu juu tu Sasa nimeletewa data kamili,naambiwa kuna zaidi ya bilioni 800 zimefichwa Canada! Na hili lilifanyika awamu ya Tano na Doto james alikua hazina! Na inasemekana zilikua ni baraka...www.jamiiforums.com
Mwenzako kiroboto skuizi naona ashajipumzikia zake choka mbaya, mtafuteni Mizengopinga mdai katiba mpya na tume huruKumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.
Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania
Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.
My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Kinyume chake ndiyo sahihi.Wewe ndiye huna elimu na unatumia JF kama uwanja wako wa kufanya maonyesho ya ujinga wako.Huna elimu.
Hebu soma kifungu cha 38 cha Public Audit Act alafu ndio uje kubishana na wanaume.Kinyume chake ndiyo sahihi.Wewe ndiye huna elimu na unatumia JF kama uwanja wako wa kufanya maonyesho ya ujinga wako.
Kinyume chake ndiyo sahihi.Wewe ndiye huna elimu na unatumia JF kama uwanja wako wa kufanya maonyesho ya ujinga wako.
Kifungu cha 38 kinasema kuwa kamati za Bunge "zitajadili" ripoti ya CAG na kutoa mapendekezo.Kifungu hiki cha 38 hakijasema kuwa kamati za bunge "zitajibu" hoja za CAG.Hebu soma kifungu cha 38 cha Public Audit Act alafu ndio uje kubishana na wanaume.
View attachment 2058019
Kamati zitajadili na kutoa ripoti foolKifungu cha 38 kinasema kuwa kamati za Bunge "zitajadili" ripoti ya CAG.Kifungu hiki cha 38 hakijasema kuwa kamati za bunge "zitajibu" hoja za CAG.
Wewe kinachokupa taabu mpaka sasa hivi ni kwamba hujui kazi za kamati za bunge linapokuja suala la ripoti ya CAG.
Kamati za Bunge hazijibu hoja za CAG bali hujadili ripoti ya CAG na kutoa mapendekezo.Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Aliifanyia nini Afrika mpaka unamwitab"Shujaa wa Afrika"!!???Nimegundua wanasiasa wengi wa Nchi hii ni Majizi ya pesa za Umma.Ila tutamkumbuka sana Magufuli hasa mm binafsi Kwa kz nzuri aliyotufanyia sitabadilika hata siku Moja juu ya huyu Shujaa wa Afrika Mzalendo wa kweli juu ya Nchi yake Tanzania.
Magu alikuwa mpigaji mzuri but kwakuwa amekufa tumuacheKumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.
Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania
Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.
My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Ndiyo.Kamati zitajadili na kutoa ripoti,lakini siyo kujibu hoja za CAG.Kujadili na kutoa ripoti haimaanishi kuwa ni kujibu hoja za CAG.Hivi ni vitu viwili tofauti.Kamati zitajadili na kutoa ripoti
Magufuli alikuwa jizi likubwa llioijificha kwenye uzarendo fake. Subiri mda utaongeza zaidi. Miradi mikubwa ya kifisadi ilikuwa ni ya kujinufaisha binafsi mfano Chato airport ilijengwa na kampuni yake binafsi kinygume cha taratibu. Aliogopa sana upinzani bungeni kwani ungeibua uovu wake ndio maana alinajisi chaguzi za 2019 na 2020Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.
Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania
Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.
My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Nini maana ya consolidated report? Huna akili mpiga kelele usie na elimu. Consolidated report ndio inakuwa na majibu ya querriesNdiyo.Kamati zitajadili na kutoa ripoti,lakini siyo kujibu hoja za CAG.Kujadili na kutoa ripoti haimaanishi kuwa ni kujibu hoja za CAG.Hivi ni vitu viwili tofauti.
Ni kweli kabisa consolidated ripoti ina majibu ya hoja lakini hoja hizo hazijajibiwa na kamati ya Bunge.Ni hoja zilizojibiwa na upande wa Serikali.Nini maana ya consolidated report?Consolidated report ndio inakuwa na majibu ya querries