Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

Maiti ya dereva iliopolewa ndani ya cabin, vipi kuhusu hilo?
Inawezekana kipindi hicho cabin bado ilikuwa haijajitenga. Ilijitenga baada ya kufanyika juhudi za mwanzoni za kuivuta gari ambazo hazikufanikiwa hivyo maji yakaisogeza. Mkondo wa maji una nguvu sana.
 
Watu wabishi sana. Nendeni Ziwa Rukwa mkawaulize wavuvi wanavua vipi samaki kwenye ziwa chafu,maji mazito lenye mamba wengi kuliko samaki.
Waulizeni wavuvi wanatega vipi nyavu zao chini ya maji na wanaonaje?
Inazama boti ziwa Rukwa wasela wanaenda kuchukua injini yao Yamaha enduro wanakuja nayo juu wanafunga boti nyingine.
Hapo wami baada ya kumtoa suka ilionekana hamna namna na mama akajikatia tamaa kusepa zake dar.
Maza aliposepa zake dar ndipo alipofanya makosa ya kiufundi. Wanaosema walilinda "utalindaje kitu mwenye nacho amekikatia tamaa".
Kosa kubwa ilikuwa ni kuweka wazi kwamba imeshindikana na mama akasepa zake dar,ikatoa mwanya kwa wajuba kufanya yao si mwenyewe kasanda.
Baada ya hapo wanyamwezi walifanya yao,badae sana ndio baadae CDF akatuma mabakamabaka wake wakaenda wakakuta kifuu,nazi washasepa nayo wenye maarifa yao.
Hao wajeda sio walienda mikono mitupu walienda na vifaa na ni wanamaji. Hicho walichokikuta ndio uhalisia na wanajua wamevunga tuu.
 
Kwa uzoefu wangu mamba hakamati mtu maji marefu. Mamba hukamata mtu kwenye maji ambayo atakuwa na uhakika kuwa miguu yake itafika chini. Kuhusu kutoa unjini za yamaha kwenye maboat yaliyozama hapa napo kuna maelezo kidogo. Boat kuzama nineno moja ila halina mfumo mmoja wa uzamaji. Huku ziwa victoria kuna injini zenye thamani kubwa kulikohuko ziwa rukwa. Lakini zimezama na wameziacha.

Nachojua mimi boat laweza pata ajari na likahesabika kuwa limezama ila likawa bado lipo kwenye usawa wa maji.(linaonekana kwa macho) hivyo kutoa injini tu linakuwa ni jambo la kawaida na kuizamua boat lenyewe
 
Mkuu,
Nakubaliana na wewe kuhusu mamba. Mamba hukaa pembeni na sio sehemu yote ya mto. Pia mamba sio mnyama mkorofi "aggressive" na wala hawezi kizuizi kwa ishu kama ya kuchomoa lori.
Kungekuwa na viboko eneo hilo ingekuwa ishu ingine maana kiboko ni aggressive na territorial kutumbukia tuu kwa lori kwake ingekuwa kumuingilia himaya yake.
Kuhusu kina huo ni mto angalia hiyo winchi urefu wa minyororo utajua kuwa gari haikuwa mbali hata mita 15 hazikufika.
Hapo kuna vipuri wanavyo wadau mkuu.
 
Inaelekea wewe unaijua vyema scania, ile impact haikuwa ya kawaida, na sioni ajabu kwa engine kung'foka.
Haujakosea mkuu, hizi chuma ni moja kati ya vichache vinavyo nipa ugali na jeuri hapa mjini.
 
Ila kama wameweza kufungua engine ya roli ndani ya maji na kuitoa, wanastahili kupanda vyeo na sidhani kama tuna vikosi mahiri kuzama kwenye maji bila vifaa
 
Mkuu,
Nakubaliana na wewe kuhusu mamba. Mamba hukaa pembeni na sio sehemu yote ya mto. Pia mamba sio mnyama mkorofi "aggressive" na wala hawezi kizuizi kwa ishu kama ya kuchomoa lori.
Kungekuwa na viboko eneo hilo ingekuwa ishu ingine maana kiboko ni aggressive na territorial kutumbukia tuu kwa lori kwake ingekuwa kumuingilia himaya yake.
Kuhusu kina huo ni mto angalia hiyo winchi urefu wa minyororo utajua kuwa gari haikuwa mbali hata mita 15 hazikufika.
Hapo kuna vipuri wanavyo wadau mkuu.
Engine na gear box kufunguliwa kunauwezekano ndiyo endapo mtu atafuata kanuni za uzamiliaji tu anatoka nayo. Mtu akipewa mitungi na spana tu anaifuata bila shida kabisa. Anaifungua na anaifunga na kamba tu inavutwa na nguvu kubwa tu inatoka
 
Hata mimi naamin vipo kwny maji sa hao wahuni wametoaje injini nzito hvo kwny maji bila vifaa na saa ngapi
Mkuu, kwa ule umbali, nina hakika Cabin, Gra box na Engine viling'oka toka kwenye chassis. Na ninahakika vitakuwa vilinasa kwenye tope la chini ya maji ama baada ya mtikisiko wakati gari ikiopolewa majini.
 
Mkuu, ebu kwa akili ya kawaida jaribu kifikiria uzito wa Geabox na Engine. Kisha jiulize Cabin mbona haijatoka na chassis??

Kisha nikujibu tu kwamba bolts zinazo kamata Engine mauntain ni nne pekee zenye unene wa 16 millimeters.

Gearbox inaunganishwa na bolts 10 zenye unene wa 10 millimeters kutoka kwenye flyn wheel pamoja na pressure, inayo ungana na bell housing ya aluminum.
Sasa.....

Ile impact ya force plus weight kutoka kule juu darajani ingeweza kuhimili kuto kusambaa kwa gari lile...??
Mkuu unachoongea inawezekana ni kweli ila sasa inabidi ujue kuwa kilichopotea ni injini na cabin,lakini kumbuka kuwa dereva alivyoopolewa alikutwa ndani ya kebini lakini leo kebini haipo pamoja na injini.

Huoni kuwa kuna mazingira ya wizi hapo??
 
Back
Top Bottom