Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Hivi bima kazi yake nini? Kwanini wanapoteza mda?Bora lakini atauza hata hayo matairi na chesesi kupunguza hasara,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bima kazi yake nini? Kwanini wanapoteza mda?Bora lakini atauza hata hayo matairi na chesesi kupunguza hasara,
Alilipa bima ya 3rd partyHivi bima kazi yake nini? Kwanini wanapoteza mda?
Mbona kuna kituo cha ulinzi pale cha mitambo ya kusukuma maji. Watu walifungua injini na kuondoka nayo wasionekane sio kweli bila ya ushirikiano na hao walinzi. Pia yawezekana injini iling'ofoka wakati ilipogonga gari nyingine. Waitafute ndani ya mto maana ni nzito ni lazima izame maeneo ya karibu.Baada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto Wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao.
Wabongo sio watu wazuri.
Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.
View attachment 1486831
View attachment 1486827
Kama angekuwa na comprehensive sidhani kama angekuwa anahangaika saa hii itakuwa alikatia 3rd party tuhivi hilo lorry halikuwa na bima? comprehensive ?
Wamlipe mama wa watu asijekufa kwa pressure
Kivipi yani Mkuu siku hizi mamba wanakula hadi chuma😂😂🙌Wee ushaambiwa mamba waliipitia elewa hivyo
Basi hatuna budi tuishukuru awamu hii kwa maajabu hayo ya Mamba mkuu.Wee ushaambiwa mamba waliipitia elewa hivyo
Mamba hao ni balaa mpaka wanajua engine ilipo na kuing'oa![emoji23][emoji23]Wee ushaambiwa mamba waliipitia elewa hivyo
Na ni utalii tosha tu Kwa mamba wetu wanaobugia hadi chuma na boriti zakeBasi hatuna budi tuishukuru awamu hii kwa maajabu hayo ya Mamba mkuu.
sikuwepo eneo la tukio ila.kwa ushauri wangu mamba hawezi kufungua injini sasa hizo timu mbili za kwanza zilizolishikashika hili gari zitoe maelezo wapi walipomuhifadhia mama mali zake.Tayari lori ambalo lilizama kwa zaidi ya siku 10 Mto Wami limetolewa kwa agizo la Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jen. Venance Mabeyo lakini Timu ya JWTZ iliyohusika na zoezi hili inasema injini na kibini havijapatikana licha ya Wazamiaji kuvitafuta kwa Nguvu zote.
Najua wapo wengi wamefatilia hii Mwanzo mwisho Tangu lori lilipozama Ijumaa june 05, kisha Timu ya uokoaji ya Kwanza kusaidia kuuopoa Mwili wa Dereva Frank na kugoma kutoa lori wakitaka wapewe mil 5, Timu ya uokoaji ya pili kupambana siku mbili na wakashindwa kuitoa hadi pale JWTZ walipoingilia kati na kufanikiwa.
Kwa uzoefu wako wa Magari na ufuatiliaji wako wa hili tukio unadhani injini na vifaa vingine ambavyo havijapatikana vitakuwa vimekwamia wapi hadi kushindwa kuonekana🤷
Haa haaa haaa 😂 ni kweli hiyo Mkuu wenyewe timu mbili hizo waongee tu vizurisikuwepo eneo la tukio ila.kwa ushauri wangu mamba hawezi kufungua injini sasa hizo timu mbili za kwanza zilizolishikashika hili gari zitoe maelezo wapi walipomuhifadhia mama mali zake.
Hahah, watu walishaiwahi usiku usiku na winchiTayari lori ambalo lilizama kwa zaidi ya siku 10 Mto Wami limetolewa kwa agizo la Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jen. Venance Mabeyo lakini Timu ya JWTZ iliyohusika na zoezi hili inasema injini na kibini havijapatikana licha ya Wazamiaji kuvitafuta kwa Nguvu zote.