Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

Mwanzo mimi nikifikiri pia kwa jinsi engine za maroli jinsi zilivyoegeshwa tuu gari yenye mzigo nyuma na uzito ule hiyo engine kabla hata haijafika chini ishasambaratika wao hawajaweka bolt nyingi kwa sababu ya kutovunja hiyo block ya engine inayopita mazingira tofauti...hakuna kilichoibiwa hapo engine ipo mtoni hapo hapo ila mbali na eneo la tukio na chini ya tope zito...
 
Baada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto Wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao.

Wabongo sio watu wazuri.

Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.

View attachment 1486831
View attachment 1486827
Mbona kuna kituo cha ulinzi pale cha mitambo ya kusukuma maji. Watu walifungua injini na kuondoka nayo wasionekane sio kweli bila ya ushirikiano na hao walinzi. Pia yawezekana injini iling'ofoka wakati ilipogonga gari nyingine. Waitafute ndani ya mto maana ni nzito ni lazima izame maeneo ya karibu.
 
Tayari lori ambalo lilizama kwa zaidi ya siku 10 Mto Wami limetolewa kwa agizo la Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jen. Venance Mabeyo lakini Timu ya JWTZ iliyohusika na zoezi hili inasema injini na kibini havijapatikana licha ya Wazamiaji kuvitafuta kwa Nguvu zote.

Najua wapo wengi wamefuatilia hii Mwanzo mwisho Tangu lori lilipozama Ijumaa June 05, kisha Timu ya uokoaji ya Kwanza kusaidia kuuopoa Mwili wa Dereva Frank na kugoma kutoa lori wakitaka wapewe Mil 5, Timu ya uokoaji ya pili kupambana siku mbili na wakashindwa kuitoa hadi pale JWTZ walipoingilia kati na kufanikiwa.

Kwa uzoefu wako wa Magari na ufuatiliaji wako wa hili tukio unadhani injini na vifaa vingine ambavyo havijapatikana vitakuwa vimekwamia wapi hadi kushindwa kuonekana🤷
 
Tayari lori ambalo lilizama kwa zaidi ya siku 10 Mto Wami limetolewa kwa agizo la Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jen. Venance Mabeyo lakini Timu ya JWTZ iliyohusika na zoezi hili inasema injini na kibini havijapatikana licha ya Wazamiaji kuvitafuta kwa Nguvu zote.

Najua wapo wengi wamefatilia hii Mwanzo mwisho Tangu lori lilipozama Ijumaa june 05, kisha Timu ya uokoaji ya Kwanza kusaidia kuuopoa Mwili wa Dereva Frank na kugoma kutoa lori wakitaka wapewe mil 5, Timu ya uokoaji ya pili kupambana siku mbili na wakashindwa kuitoa hadi pale JWTZ walipoingilia kati na kufanikiwa.

sikuwepo eneo la tukio ila.kwa ushauri wangu mamba hawezi kufungua injini sasa hizo timu mbili za kwanza zilizolishikashika hili gari zitoe maelezo wapi walipomuhifadhia mama mali zake.
 
Au nadhani basi pia kuna wahuni pia wamefanya yao wao pia walikuwa na shughuri yao binafsi tofauti na ya uokoaji!🤷
 
sikuwepo eneo la tukio ila.kwa ushauri wangu mamba hawezi kufungua injini sasa hizo timu mbili za kwanza zilizolishikashika hili gari zitoe maelezo wapi walipomuhifadhia mama mali zake.
Haa haaa haaa 😂 ni kweli hiyo Mkuu wenyewe timu mbili hizo waongee tu vizuri
 
Wapeleke hilo na walifunge metal detector litupe majibu wanafeli wapi?
images (12).jpeg
 
Tayari lori ambalo lilizama kwa zaidi ya siku 10 Mto Wami limetolewa kwa agizo la Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jen. Venance Mabeyo lakini Timu ya JWTZ iliyohusika na zoezi hili inasema injini na kibini havijapatikana licha ya Wazamiaji kuvitafuta kwa Nguvu zote.

Najua wapo wengi wamefatilia hii Mwanzo mwisho Tangu lori lilipozama Ijumaa june 05, kisha Timu ya uokoaji ya Kwanza kusaidia kuuopoa Mwili wa Dereva Frank na kugoma kutoa lori wakitaka wapewe mil 5, Timu ya uokoaji ya pili kupambana siku mbili na wakashindwa kuitoa hadi pale JWTZ walipoingilia kati na kufanikiwa.

Kwa uzoefu wako wa Magari na ufuatiliaji wako wa hili tukio unadhani injini na vifaa vingine ambavyo havijapatikana vitakuwa vimekwamia wapi hadi kushindwa kuonekana🤷
Hahah, watu walishaiwahi usiku usiku na winchi
 
Back
Top Bottom