Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

Kivipi yani Mkuu siku hizi mamba wanakula hadi chuma[emoji23][emoji23][emoji119]
Wee unafikiri ule ulinzi wa pale kuna kituo cha polisi na cha uokoaji alafu kibinza gari ilivyokuwa kubwa inaibiwa kabisa na mle kwenye maji kuna mamba pia lakini wameiba. Sasa hapo si mamba wameiba wakapewa na ulinzi kabisa?
Hapo kwenye mamba sio mamba hawa unaojua wewe ni mamba hawa hawa mamba.
 
HAKUNA WIZI ULIOFANYIKA, hapa nimeona komenti nyingi zinazoonyesha watu wengi kutoelewa madhara yanayoletwa na maji yanayotembea (MTO)
,hakika maji hata ya mkondo wa mvua yakisomba gari yanasababisha madhara makubwa mno kwa gari ikiwemo kufungua tairi na bolt na nut nyingi tu hata kutoa injini na vifaa vingine , hayo ni maji ya mkondo wa muda msimu wa mvua, HEBU fikiria kwa kina maji mengi ya WAMI na kasi yake na gari imekaa siku 10, injini itakuwa imefunguliwa na maji na kusombelewa mbali , ITOSHE kutoa shukrani kwa CDF na jeshi letu kwa kazi nzuri waliyofanya, tuache kuongozwa na dhana na hisia zisizo na uhalisia
 
Mkuu, ebu kwa akili ya kawaida jaribu kifikiria uzito wa Geabox na Engine. Kisha jiulize Cabin mbona haijatoka na chassis??

Kisha nikujibu tu kwamba bolts zinazo kamata Engine mauntain ni nne pekee zenye unene wa 16 millimeters.

Gearbox inaunganishwa na bolts 10 zenye unene wa 10 millimeters kutoka kwenye flyn wheel pamoja na pressure, inayo ungana na bell housing ya aluminum.
Sasa.....

Ile impact ya force plus weight kutoka kule juu darajani ingeweza kuhimili kuto kusambaa kwa gari lile...??
Waokoaji walisema Dereva alikuwa amebanwa na seatbelt wakati wanaokoa maiti yake....hivyo ina maana cabin haikutoka wakati wa ajali.
 
Eti wakulungu wenzangu si inawezekana uyu mama akapewa pesa yake inayoendana na thamani ya gali yake kama wanavyopewa wengine njiani na mkuu wetu
 
Waokoaji walisema Dereva alikuwa amebanwa na seatbelt wakati wanaokoa maiti yake....hivyo ina maana cabin haikutoka wakati wa ajali.
Okay, je walisema kwamba Cabin ilikuwa haijang'oka kwenye chassis?
 
Labda ilichomoka na kuzama chini sana pamoja na cabin
 
Wahuni na injini wapi na wapi mkuu, wahuni Wana deal na betry tu
 
Wahuni na injini wapi na wapi mkuu, wahuni Wana deal na betry tu
Inabebwa ile usiku kwa usiku sandakalawe kumbuka yule mama alishakata tamaa,
Hivi engine inaweza chomoka kweli iache chasisi yake kweli,
Mabaharia wamefanya yao,mtaji huo
 
Mkuu, ebu kwa akili ya kawaida jaribu kifikiria uzito wa Geabox na Engine. Kisha jiulize Cabin mbona haijatoka na chassis??

Kisha nikujibu tu kwamba bolts zinazo kamata Engine mauntain ni nne pekee zenye unene wa 16 millimeters.

Gearbox inaunganishwa na bolts 10 zenye unene wa 10 millimeters kutoka kwenye flyn wheel pamoja na pressure, inayo ungana na bell housing ya aluminum.
Sasa.....

Ile impact ya force plus weight kutoka kule juu darajani ingeweza kuhimili kuto kusambaa kwa gari lile...??
Inaelekea wewe unaijua vyema scania, ile impact haikuwa ya kawaida, na sioni ajabu kwa engine kung'foka.
 
Back
Top Bottom