Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

Baada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto Wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao.

Wabongo sio watu wazuri.

Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.
Itakua hii engine ilitolewa mapema halafu fusso ndio likasukumwa mtoni wakijua kwamba hawataliopoa,kumbuka miaka ya nyuma kuna roli hapo wami watu waliuza sukari wakaweka magunia tupu wakasukumia roli mtoni,dereva anajua alilofanya
 
Mkuu, ebu kwa akili ya kawaida jaribu kifikiria uzito wa Geabox na Engine. Kisha jiulize Cabin mbona haijatoka na chassis??

Kisha nikujibu tu kwamba bolts zinazo kamata Engine mauntain ni nne pekee zenye unene wa 16 millimeters.

Gearbox inaunganishwa na bolts 10 zenye unene wa 10 millimeters kutoka kwenye flyn wheel pamoja na pressure, inayo ungana na bell housing ya aluminum.
Sasa.....

Ile impact ya force plus weight kutoka kule juu darajani ingeweza kuhimili kuto kusambaa kwa gari lile...??
Hiyo injini na cabin zilichomoka. Hili naweza kulisema nikiwa na uhakika kabisa. Vilichomoka kwa sababu lori liligonga nyuma ya gari jingine na kuanguka urefu mkubwa. Pia ubovu wa lori unachangia. Injini na cabin vinaweza kuja kuonekana baadae sana, baada ya maji kupungua kabisa. Pale ni sehemu iliyo busy muda wote na siyo rahisi watu kupata muda wa kuzama ndani ya maji mpaka wafungue injini na kuitoa. BTW huyu mama alitakiwa alishtakiwe kwa kuweka gari bovu barabarani. Huu mlori wake unaonekana ulikuwa mbovu kabisa na uliungwa ungwa na na mafundi wa uchochoroni ndiyo maana breki zilifeli na injini kuchomoka kwa urahisi.
 
Dereva alitolewa ndani ya cabin siku 3 baadabya ajali..

Usisahau kuwa dereva alinasa ndani ya cabin siku 2 so hsikusambaratika
Kuna juhudi za kuliopoa gari zilizoshindwa ndo zilisababisha cabin na engine vinyofoke na kuzolewa na maji Hadi mbali na kwa uzito wa engine lazima imezama chini kwenye matope. Hakuna wa kujitwisha engine toka mtoni akapanda nayo juu bila crane.
 
Wameiba au imebaki chini kwenye maji wataiba wapeleka wapi sasa maana ujue ile gari kabla ya kudumbukia mtoni iligonga nyuma ya gari nyingine. Halafu je unayajua maji yanayotembea vizuri maana tusiongee
Kuna video inaonesha jinsi gari lilivyokosa uelekeo na kutumbukia mtoni. Halikugonga gari jingine.
 
Dereva alitolewa ndani ya cabin siku 3 baadabya ajali..
Una uhakika kama walisema alikuwa ndani ya cabin? Pia inaweza kuwa zile mishe mishe za mwanzoni za kutaka kulivuta gari zilisababisha injini na cabin kutengana. Bado nasisitiza huo m-lori ulikuwa mkweche sana. Kishindo cha kugonga lile gari jingine kwa nyuma na kutumbukia kwenye mto likiwa na uzito uliopitiliza + ubovu wa lori ulifanya kichwa kusambaa na injini na cabin kutengana na sehemu iliyotolewa.
 
Alinasa ndani cabin.
Una uhakika kama walisema alikuwa ndani ya cabin? Pia inaweza kuwa zile mishe mishe za mwanzoni za kutaka kulivuta gari zilisababisha injini na cabin kutengana. Bado nasisitiza huo m-lori ulikuwa mkweche sana. Kishindo cha kugonga lile gari jingine kwa nyuma na kutumbukia kwenye mto likiwa na uzito uliopitiliza + ubovu wa lori ulifanya kichwa kusambaa na injini na cabin kutengana na sehemu iliyotolewa.
 
Baada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto Wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao.

Wabongo sio watu wazuri.

Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.

View attachment 1486831
View attachment 1486827
Da huu ni unyama wamemfanyia huyu mama na kumuongezea uchungu hawa wahuni .wito wangu kwa vyombo vya uchunguzi kamateni wote waliozama mara ya kwanza na kufunga boya kabla ya watu wazimamoto kufika ambao walithibitisha mwanzo mwili wa dereva hupo ndani ya maji kwenye gari watakua wanajua mchongo .nimeumia sana yani
 
Aisee msalaa sanaa...hapo mama kachezewa mchezoo!! Kama kuna walinzi walikuwa wanalinda usikuu imeishaa hiyooo na wale waliojaribu kuitoaa mara ya kwanzaa wanaweza kuwa wanahusika kwa asilimia 80
Mnaongea hamyajui maji,nliona roli na kijiko vya mchina vimechukuliwa na maji....walivyozama korongoni walikuta maji yamefungua matairi pamoja na mkanda wa kijiko,maji yasikie tu ni noma
 
Hiyo injini na cabin zilichomoka. Hili naweza kulisema nikiwa na uhakika kabisa. Vilichomoka kwa sababu lori liligonga nyuma ya gari jingine na kuanguka urefu mkubwa. Pia ubovu wa lori unachangia. Injini na cabin vinaweza kuja kuonekana baadae sana, baada ya maji kupungua kabisa. Pale ni sehemu iliyo busy muda wote na siyo rahisi watu kupata muda wa kuzama ndani ya maji mpaka wafungue injini na kuitoa. BTW huyu mama alitakiwa alishtakiwe kwa kuweka gari bovu barabarani. Huu mlori wake unaonekana ulikuwa mbovu kabisa na uliungwa ungwa na na mafundi wa uchochoroni ndiyo maana breki zilifeli na injini kuchomoka kwa urahisi.
Mambo ya ushabiki wa mpira usiyalete kwenye mambo ya msingi hapa, Huwezi kuongea hivyo utadhania ulishuhudia tukio hilo!! Mambo kama haya ya ajari, mwanzoni inapotokea watu huendeshwa na dhana, ndio maana huwa kuna uchunguzi ili kubaini chanzo halisi!! Brake ku fail hadi gari liwe limechoka? Gari kama lilikuwa bovu toka lilipotoka hadi linapata ajari lilipita wapi?
 
1. Siyo ajari. ni ajali. Kuandika ''ajari'' waachie watoto wa darasa la kwanza wanaojifunza kuandika.
2. Ku-fail kwa breki kunasababishwa na ubovu wa gari. Kuendesha gari bovu ni uzembe.
3. Gari lilikuwa bovu kabisa. Wahusika walitakiwa ku-face sheria na siyo kuonewa huruma.
4. Kusema kuwa ''kama lilikuwa bovu toka lilipotoka hadi linapata ajari (ajali) lilipita wapi?''inaonyesha kiwango cha IQ yako.
 
Hilo Lori limeopolewa kwakuwa Mmiliki wake Yule Mama alionekana akilia Mitandaoni au? Je, na wenye Umasikini nao Wakilia hivi watasaidiwa?

Inategemea unaliaje na wapi mkuu, kama unalia mwenyewe nyumbani kwako hata litoke chozi la damu hutaambulia kitu, lakini kama unaenda kwenye media na kulia huku wanachukua video na kurushwa mitandaoni basi jua hapo watakuona.
 
Ila kuna mambo yanaweza kutokea halafu mtu unabaki bila majibu...kama hili la engine na cabin.ukisema imetolewa akili inakataa..ukiwaza pia ipo ndan ya maji akili inakataa pia
 
Back
Top Bottom