Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Hamna tofauti na ile Meli Ya titanic, safari yake ya kwanza ikapata ajali,Naona maswali yote unayojiuliza hayana mashiko.
Enhe, likifuatiliwa halafu?
Unajiuliza maswali ya mtu kukosa mil2 katika kadhia kama hiyo na kisa chote mbona alikiweka wazi kwamba hiyo ilikuwa ni trip ya kwanza!
Kununua kitu chenye thamani na kuishiwa pesa mbona ni jambo la kawaida kabisa ili mradi mhusika alikuwa na lengo lake na mahesabu yake namna ya 'kutoboa' ili kujiendeleza.