Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Nimeipitia kwa haraka haraka ni kwamba waliofungua shauri (Juma na Mwipopo) walikuwa na hoja KUU 4 ambazo ni;
1. Mahakama iseme bodi ya wadhamini ya Yanga iliyopo madarakani kwa sasa ni batili sababu ipo kwa katiba ambayo sio sahihi.
2. Mahakama iseme kuwa shughuli zote ikiwemo za mihamala zilizofanyika ni batili sababu bodi iliyopo ni batili.
3. Mahakama itoe amri kuwa majukumu ya kiutendaji/utawala yawe resumed
4. Mahakama itoe amri kuwa ufanyike mchakato mpya wa kuchagua viongozi wapya sababu waliopo wamepatikana kwa njia ambazo ni batili.
Wafunguaji shauri wanadai katiba sahihi ya Yanga ni ya 1968 iliyofanyiwa merekebisho 2011, ila inaonekana 2010 kulikuwa na katiba nyingine ambayo kimsingi sio halali.
Mahakama imezikubali hoja zote za wafunguaji shauri na asiyeridhika na maamuzi haki yake ya rufaa ipo wazi
C&P