redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Iyo si kauli ya Mtanzania, Ni kauli za kibaguzi na hazina nafasi popote Katika Nchi hii.Wasomali wanafanikiwa kila kona
Rage
Wallence
Bashe
Hersi
Nk
Tuwape uraia wasomali wengi zaidi ili watuvushe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo si kauli ya Mtanzania, Ni kauli za kibaguzi na hazina nafasi popote Katika Nchi hii.Wasomali wanafanikiwa kila kona
Rage
Wallence
Bashe
Hersi
Nk
Tuwape uraia wasomali wengi zaidi ili watuvushe
We dogo.unadiriki kuidharau mhimili wa Nchi kama Mahakama? Mahakama imeshaamua. Kama una kauwezo hata kidogo kawasaidie uongozi wa yanga feki kukata rufaa..Huo UJINGA pelekeni huko ukoloni
Simba tuko misri. Kwanza tuko bize sana sana hatuna muda na takataka zenu, tuko bize na mpanzu mmemuendea kwa mganga na wengine mna wiki mnabinya makende yenu ili asije unyamani!Itakuwa simba ndio wamefungua kesi.
Soma vizuri comment yangu bila kukurupuka.We dogo.unadiriki kuidharau mhimili wa Nchi kama Mahakama? Mahakama imeshaamua. Kama una kauwezo hata kidogo kawasaidie uongozi wa yanga feki kukata rufaa..
Mkuu taysri mapinduzi yashafanyikaNimeipitia kwa haraka haraka ni kwamba waliofungua shauri (Juma na Mwipopo) walikuwa na hoja KUU 4 ambazo ni;
1. Mahakama iseme bodi ya wadhamini ya Yanga iliyopo madarakani kwa sasa ni batili sababu ipo kwa katiba ambayo sio sahihi.
2. Mahakama iseme kuwa shughuli zote ikiwemo za mihamala zilizofanyika ni batili sababu bodi iliyopo ni batili.
3. Mahakama itoe amri kuwa majukumu ya kiutendaji/utawala yawe resumed
4. Mahakama itoe amri kuwa ufanyike mchakato mpya wa kuchagua viongozi wapya sababu waliopo wamepatikana kwa njia ambazo ni batili.
Wafunguaji shauri wanadai katiba sahihi ya Yanga ni ya 1968 iliyofanyiwa merekebisho 2011, ila inaonekana 2010 kulikuwa na katiba nyingine ambayo kimsingi sio halali.
Mahakama imezikubali hoja zote za wafunguaji shauri na asiyeridhika na maamuzi haki yake ya rufaa ipo wazi
C&P
View attachment 3044165
www.instagram.com
Hersi yupo pale kuisimamia maslahi ya GSM ambae ni shemeji yake... Kuna mambo wazee wapo sahihi...kina Hersi hawakutakiwa kuwadharau wazee wa timu..uliona wapi Kijiji bila wazee banaa? Wao waliwatupa njee...we unadhani wazee hawajaitoa club mbali?Hata mimi naungana na wewe kwenye hili.
Hersi ni mtu sahihi sana kwa maendeleo ya Yanga huu ndio ukweli na uhalisia.
Linapokuja swala la maendeleo ya Club ishu ya kifedha haiwezi kuwa kipaumbele kinachoweza kusimama peke yake.
Kipaumbele kikubwa ni mapenzi na timu.
Hersi ni mtu sahihi kushika nafasi hiyo ya juu kwasababu anafit katika angle zote mbili.
Ulitaka wazee wawe wanapewa ela na Hersi au ulitaka hao wazee wapewe uongozi? Maana sijakuelewa unaposema Hersi ana wadharau wazee. Mechi ya Yanga vs Simba msimu uliopita waliitwa wazee wote wa Yanga kama sehemu ya heshima na kuwatambua na kisha akasema mechi ni kwaajili ya wazee wa Yanga.Hersi yupo pale kuisimamia maslahi ya GSM ambae ni shemeji yake... Kuna mambo wazee wapo sahihi...kina Hersi hawakutakiwa kuwadharau wazee wa timu..uliona wapi Kijiji bila wazee banaa? Wao waliwatupa njee...we unadhani wazee hawajaitoa club mbali?
Waseme wasemavyo ila wajueUlitaka wazee wawe wanapewa ela na Hersi au ulitaka hao wazee wapewe uongozi? Maana sijakuelewa unaposema Hersi ana wadharau wazee. Mechi ya Yanga vs Simba msimu uliopita waliitwa wazee wote wa Yanga kama sehemu ya heshima na kuwatambua na kisha akasema mechi ni kwaajili ya wazee wa Yanga.