‘Wahuni’ wanataka kumtoa Hersi kuwa Rais wa Yanga

Kama kweli means kuna namna ya kutaka yanga wavurugane, ili simba ambae ndo inasajili kwa fujo huku MO akiwa karejea uongozini, ipate nguvu ya kutawala soka tena msimu ujao..yani ni kama katika hawa mapacha hawawezi shindana uwanjani ikiwa watakuwa sawa kiuchumi na kiuongozi
 
Chama ame wavuruga kwelikweli 😃😃😃
 
Hata mimi naungana na wewe kwenye hili.

Hersi ni mtu sahihi sana kwa maendeleo ya Yanga huu ndio ukweli na uhalisia.

Linapokuja swala la maendeleo ya Club ishu ya kifedha haiwezi kuwa kipaumbele kinachoweza kusimama peke yake.

Kipaumbele kikubwa ni mapenzi na timu.

Hersi ni mtu sahihi kushika nafasi hiyo ya juu kwasababu anafit katika angle zote mbili.
 
Ni vitu vya kujifurahisha vya mwandishi.
Hakuna Mahakama inayo pokea shauri alafu bila kumtumia mlalamikiwa taarifa ili asikilizwe hoja za mlalamikaji na siku iyiyo Mahakama iwasikilize walalamikaji na kutoa hukumu siku iyo iyo.

Ata izo Mahakama za Gachacha uko Rwanda wazijawahi fanya hivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba inahusu nn na mambo ya Yanga? Hebu pambaneni kivyenu huko, khaaaah
 
Wametumwa hao na itakuwa wale jamaa wa pembeni ili kuvurimuga safari ya Yanga Afrikan.
 
Hiyo katiba imesajiliwa na RITA?! Kama jibu ni ndio, ni vigezo vipi vimetumika na Mahakama kubatilisha uRais wa Hersi?

Lakini, kama jibu Katiba haijasajiliwa, hao waliofungua 'Kesi' wana akili nyingi na kuzuia 'WAHUNI' kupora timu yao.
 
Hiyo katiba imesajiliwa na RITA?! Kama jibu ni ndio, ni vigezo vipi vimetumika na Mahakama kubatilisha uRais wa Hersi?

Lakini, kama jibu Katiba haijasajiliwa, hao waliofungua 'Kesi' wana akili nyingi na kuzuia 'WAHUNI' kupora timu yao.
Kuna vitu najaribu kufikiria sipati majibu, yaani mahakama siku hizi watu wachache wanafungua kesi halafu haitangazwi, wala upande wa pili hawaitwi kujitetea wala nini. Kuhusu swali ulilouliza naomba nikujibu kwa vielelezo mkuu.
1) serikali ndio walioipitisha hiyo katiba na pia kila kitu kiliwekwa wazi katika vikao na hakuna jambo ambalo GSM na Hersi wakilificha juu huu mchakato

 
Kupitishwa inawezekana, Je, imesajiliwa na RITA?

Itakuawaje kama upande wa pili pia uliitwa na haukutokea kwa 'Kukaidi'?
 
Nimeona Millard Ayo ame-post ngoja tusikilizie ila siamini kama ni taarifa ya uongo
 
Wasomali wanafanikiwa kila kona
Rage
Wallence
Bashe
Hersi

Nk

Tuwape uraia wasomali wengi zaidi ili watuvushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…