Wahuni wavuruga mfumo wa Cab Urusi, tax zote zafuruka Moscow kumchukua mtu mmoja

Wahuni wavuruga mfumo wa Cab Urusi, tax zote zafuruka Moscow kumchukua mtu mmoja

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,265
Reaction score
4,735
Septemba Mosi, mji wa Moscow ulipata mshituko baada ya magari yenye rangi ya njano(Cabs) kufurika city centre baada tax zote kupata call kutoka kwa mtu mmoja kupitia app ya Rusian Andex, ambaye, hata hivyo hakuwa na taarifa.

Hali hiyo ilileta taharuki hasa kutokana na kuleta msongamano katikati ya mji. Taarifa zilitolewa baadae kuwa huenda mfumo ulikuwa umedukuliwa. Shughuli za kawaida zilisimama kabisa kwa takriban dakika 40.

Mytake: vita ya Ukraine italeta athari nyingi
 
Sasa hiyo si kama ubar tu hakuna uhusiano na usalama wa nchi
 
Back
Top Bottom