DOKEZO Wahusika! Huyu dereva wa basi la Mwendokasi T 557 DWR ni nani kwenye hii nchi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ulishindwa nini kumhoji haya yote mkuu au ndio wanaume wa Dar mmejaa uoga uoga tu mnakuja kulia mitandaoni.

hata picha UKAOGOPA kupiga masikini[emoji28][emoji28][emoji28]
Alikuwa anaogopa kuchapwa makofi , wabongo wamezoea umbea umbea tu.
 
Duu, anaziba njia kwa kwenda kuosha na libasi la mwendokasi?!
Kama upo Dar pitia maeneo ya Kimara Temboni upande wa kuelekea Mbezi, Ukishuka pale ifuate barabara ile kama 300 mita kuna Mgahawa utauona pale ni mzuri kiasi chake na unatengeneza vyakula vizuri tu. Pita pale mida ya saa 2:30 asubuhi unaweza ukaliona hilo gari la Mwendokasi linavyopaki pale bila abiria na ataingia Mwanamke na Dereva atashuka kwenye gari kunywa soda zaidi ya nusu saa, na ile njia kuna kama kona lile basi la Mwendokasi ni lile refu kabisa linasababisha foleni sana.
 
Duu.., huyo harudii tena, si unajua JF tena 😂😂
 
Kuna siku nilishawahi kuuliza kwanini askari huwa wanaendesha magari ya mwendokasi wakati kuna watu(raia) hawana kazi na wanazo leseni tena za NIT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…