Wahusika kwenye kadhia ya Mbowe Wawajibishwe

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Chereko chereko zinapoendelea kufuatia kuachiwa huru Mh. Freeman Mbowe, kadhia hii isiishe bila fidia wala watu fulani fulani kuwajibika au hata kuwajibishwa.

Kwenye kadhia hii kuna watu wamepotezwa, watu wameteswa, utaratibu wa sheria umekiukwa, watu wamedhulumiwa, nk.

Yote haya ikiwa ni ufedhuli mkubwa uliopitiliza usioweza kuvumilika.

Asiachwe awaye yote kwa ukiukwaji wowote uliofanyika.

Kama mamlaka haichukui hatua, waovu hawa na waburuzwe mahakamani wao kama raia.
 
Aibu Kwa Jaji Kwa maamuzi aliyofanya!Watu wamebumba ushahidi wakaja kuuleta mahakamani, kila mtu akaona ni ushahidi wa mchongo na hakuna kesi!

Jaji akasukumwa kuamua kuwa Wana kesi ya kujibu. Kabla hawajaanza kujitetea DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi maana ushahidi alionao ni crap!

Jaji unajisikiaje huko uliko? Ungeyajua haya, bado uamuzi wako ungekuwa watuhumiwa Wana kesi ya kujibu?
 
Jaji alikuwa ana furahia per diem.. Hakuwa hata na muda wa kusoma mashahidi wanacho ongea. Jaji wa hovyo kabisa kuwahi kutokea.
 
!Aibu Kwa Jaji Kwa maamuzi aliyofanya!Watu wamebumba ushahidi wakaja kuuleta mahakamani,kila mtu akaona ni ushahidi wa mchongo na hakuna kesi!Jaji akasukumwa kuamua kuwa Wana kesi ya kujibu!Kabla hawajaanza kujitetea DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi maana ushahidi alionao ni crap!
Jaji unajisikiaje huko uliko?Ungeyajua haya,Bado uamuzi wako ungekuwa watuhumiwa Wana kesi ya kujibu?

List ya watu wa kuwajibika au kuwajibishwa ni ndefu
 
Chokoa chokoa pweza binadamu hutamweza

Kuwawajibisha mafwedhuli hawa ambao hata wanajulikana kwa majina na vitendo vyao hakuwezi kuitwa kumchokoa pweza na binadamu awaye yote mwenye utu japo kidogo kabisa.

Hivi Sirro angali ofisini hata sasa?
 
Chereko chereko zinapoendelea kufuatia kuachiwa huru Mh. Freeman Mbowe, kadhia hii isiishe bila fidia wala watu fulani fulani kuwajibika au hata kuwajibishwa.

Kwenye kadhia hii kuna watu wamepotezwa, watu wameteswa, utaratibu wa sheria umekiukwa, watu wamedhulumiwa, nk.

Yote haya ikiwa ni ufedhuli mkubwa uliopitiliza usioweza kuvumilika.

Asiachwe awaye yote kwa ukiukwaji wowote uliofanyika.

Kama mamlaka haichukui hatua, waovu hawa na waburuzwe mahakamani wao kama raia.
Wanaoistahiri kuwajibika IGP siro ni namba moja.
 
Back
Top Bottom