Waanze na IGP
Jaji alikuwa ana furahia per diem.. Hakuwa hata na muda wa kusoma mashahidi wanacho ongea. Jaji wa hovyo kabisa kuwahi kutokea.Aibu Kwa Jaji Kwa maamuzi aliyofanya!Watu wamebumba ushahidi wakaja kuuleta mahakamani, kila mtu akaona ni ushahidi wa mchongo na hakuna kesi!
Jaji akasukumwa kuamua kuwa Wana kesi ya kujibu. Kabla hawajaanza kujitetea DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi maana ushahidi alionao ni crap!
Jaji unajisikiaje huko uliko? Ungeyajua haya, bado uamuzi wako ungekuwa watuhumiwa Wana kesi ya kujibu?
!Aibu Kwa Jaji Kwa maamuzi aliyofanya!Watu wamebumba ushahidi wakaja kuuleta mahakamani,kila mtu akaona ni ushahidi wa mchongo na hakuna kesi!Jaji akasukumwa kuamua kuwa Wana kesi ya kujibu!Kabla hawajaanza kujitetea DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi maana ushahidi alionao ni crap!
Jaji unajisikiaje huko uliko?Ungeyajua haya,Bado uamuzi wako ungekuwa watuhumiwa Wana kesi ya kujibu?
Chokoa chokoa pweza binadamu hutamweza
Yule mwenye kiburi KingaiBila kuwasahau waliotokomea na Moses Lijenje.
Sirro ajitafakari sana ni aibu kubwa kwakeWaanze na IGP
Hakuna sheria hiyo we chadomo
Sirro ajitafakari sana ni aibu kubwa kwake
Wanaoistahiri kuwajibika IGP siro ni namba moja.Chereko chereko zinapoendelea kufuatia kuachiwa huru Mh. Freeman Mbowe, kadhia hii isiishe bila fidia wala watu fulani fulani kuwajibika au hata kuwajibishwa.
Kwenye kadhia hii kuna watu wamepotezwa, watu wameteswa, utaratibu wa sheria umekiukwa, watu wamedhulumiwa, nk.
Yote haya ikiwa ni ufedhuli mkubwa uliopitiliza usioweza kuvumilika.
Asiachwe awaye yote kwa ukiukwaji wowote uliofanyika.
Kama mamlaka haichukui hatua, waovu hawa na waburuzwe mahakamani wao kama raia.
Ni watu wa ajabu sanaKwa jinsi wasivyokuwa na aibu wala utu bila kuchukuliwa hatua hawachoki kujibatiza uzalendo uchwara.
Mwenyezi Mungu ametenda miujiza.Kina Kingai Wamewapiga na kuwatesa bure watu wa Mungu.