...... wala malango ya kuzimu hayatalishinda.Naunga mkono hoja!
Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu!
Siyo ubahili; ni muda. Kama utaratibu wao ni kwamba hawawezi kuziweka humu kwa sababu za kibiashara, nitajitahidi kupata muda nikanunue. Kwa sasa nina dhana kuwa pengine wamejisahau tu kuziweka na si kwa lengo la biasaharaMleta mada acha ubahili nenda kanunue usipende vya bure kanisani wakati sadaka yenyewe kuitoa mpaka utishiwe kuwa kanisa halitakupa huduma ndio unaitoa shingo upande
Kuna binti wa nyumbani kwetu alikuwa anaimba kwenye kwaya hiyo. Ilikuwa ni mara ya kwanza kwangu kumuona mtu wa nyumbani ninayemfahamu, akiwa amerekodiwa na kuonekana kwenye videoTumpokee kwa shangwe na herii, tumpokee papaa Yohane Paulo,
Mtumishi, kiongozi mchungaji wetu mwema wa kanisa katoliki.
SafiTumpokee kwa shangwe na herii, tumpokee papaa Yohane Paulo,
Mtumishi, kiongozi mchungaji wetu mwema wa kanisa katoliki.
Hiyo album yenye nyimbo kama vile Utukufu na ukuu, Wewe ndiwe Petro, Bwana Mfalme ameketi milele, Nimemkuta Daudi, n.k. ninayo. Naitafuta ile nyingine yenye nyimbo za Tumpokee Kiongozi wetu na mchungaji wetu mwema, Tumpokee kwa shangwe, n.k.Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile;
Tunaomba Album hiyo iliyotoka mwaka 1990 baada ya ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne Paul II, nyimbo zake mtuwekee kwenye youtube. We are terribly missing the album!
Kwa kipindi hiki kwenye youtube kuna wimbo mmoja tu wa album hiyo, ambao ni huu hapa chini
Tunatanguliza shukrani zetu,.
MUBARIKIWE NA BWANA
Ukiipata hii album please tuwasiliane. Kuna wimbo mwingine unaimbwa "Waumini, tujiandae kwa ujio wa Papa wetu"Tumpokee kwa shangwe na herii, tumpokee papaa Yohane Paulo,
Mtumishi, kiongozi mchungaji wetu mwema wa kanisa katoliki.
Nimemkuta Daudi, mtumishi wanguuuuu nikampaka mafuta, ili mkono wangu uwe naye daima.Hiyo album yenye nyimbo kama vile Utukufu na ukuu, Wewe ndiwe Petro, Bwana Mfalme ameketi milele, Nimemkuta Daudi, n.k. ninayo. Naitafuta ile nyingine yenye nyimbo za Tumpokee Kiongozi wetu na mchungaji wetu mwema, Tumpokee kwa shangwe, n.k.
Baadhi ya nyimbo hizi nimezipta kwenye link hii hapa:Hiyo album yenye nyimbo kama vile Utukufu na ukuu, Wewe ndiwe Petro, Bwana Mfalme ameketi milele, Nimemkuta Daudi, n.k. ninayo. Naitafuta ile nyingine yenye nyimbo za Tumpokee Kiongozi wetu na mchungaji wetu mwema, Tumpokee kwa shangwe, n.k.
Naunga mkono hoja!
Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu!
Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile;
Tunaomba Album hiyo iliyotoka mwaka 1990 baada ya ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne Paul II, nyimbo zake mtuwekee kwenye youtube. We are terribly missing the album!
Kwa kipindi hiki kwenye youtube kuna wimbo mmoja tu wa album hiyo, ambao ni huu hapa chini
Tunatanguliza shukrani zetu,.
MUBARIKIWE NA BWANA
Ninazo zote, ngoja niwawekee kwenye hii thread, zipo nyimbo 16, nyimbo 2 nimeshaziweka hapo juu.Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile;