Wahusika: Tunaomba album ya nyimbo za ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne II Septemba 1990 mtuwekee youtube

Wahusika: Tunaomba album ya nyimbo za ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne II Septemba 1990 mtuwekee youtube

Nimekuongezea huo mmoja, endelea kuzitafuta YouTube hizo za kwako zilizobakia ila album yao
ilikuwa na nyimbo 16

image_2022-11-28_115506452.png
 
Na heriiii....

Tumpokee papaa.. Yohane Paulo
Wakuu mwenyewe nyimbo za catholic kutoka kwaya ya kristu mfalme Katubuka Kigoma za miaka ya 2003 mpaka 2005 ashare Naomba nisaidiwe please.
 
Back
Top Bottom