hata mwakyembe yumooo??? heee huyu jamaa nae mwizi ndio maana kyela kwao hawaendelei
Ngoja nimuite Ritz atwambie kama anawajua hawa..
Wao sasa ndiyo wapo busy kwa Sangoma kupindisha upepo maofisa wengi wa TRA ni matajiri sana.
Hata Ndege wanapanda business class
Kumekucha sasa leteni habari naamini zote zitafanyiwa kazi mkiwa na baadhi ya vielelezo ni nzuri ziadiKuna Afsa Wa TRA yupo tawi la mwenge anaitwa MHINA yeye kawakamara Wachina wote wanaomiliki viwanda na biashara kubwa huwasaidia kufanya Magumashi amekuwa Tajiri kuliko huyo Habibu wanayemtangaza sana.
HAIWEZEKANI HATA SIKU MOJA TEAMLOWASSA AKAMFAGILIA AU KUMPENDA DR. MWAKYEMBE, huyu MZALENDO kasababisha damage kubwa sana iliyogharimu watu urais na ahadi za ukuu wa vitengo kwa baadhi ya watu.
Sitegemei APENDWE NA TEAMLOWASSA AU WANA UKAWA WENGI, kama inavyojionyesha ktk comments humu!
Mwakyembe ataendelea kuwa jembe! Na nyumbu wataendelea kuwa nyumbu!
Kumekucha sasa leteni habari naamini zote zitafanyiwa kazi mkiwa na baadhi ya vielelezo ni nzuri ziadi
bila shaka hata Lizaboni, faizofoy, Simiyu Yetu, Musa allan na MwanaDiwani, et al watakuwa wanawajua hawa WEZI wa rasilimali za taifa.